Kwa hiyo ww unaona nchi inakwenda vizuriCAG hajawahi sema mahala popote kwamba pesa zimeibiwa ila alijenga hoja ambayo Serikali walitakiwa kujibu ndio maana hoja ya CAG haiwezi kuwa.ushahidi.wa.moja.kwa.moja.mahakamani..
Mwisho wizi upo ila.sio.kwa.kiwangi ambacho wapotoshaji wanataka kuaminisha watu,ingekuwa hivyo Nchi ingekuwa haiendi.