Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Swali lako ni la Kijinga, kwa maisha haya smartphone anaweza kuwa nayo mtu hata ya 500,0000 na hana hela ya kula!
Ina maana akiuza huyo smart phone aka tokea kwenye mtandao, na mawasiliano hiyo hela ataila mpaka afe?
Namna pekee ya kumsaidia mtu ambaye hana hata chakula, ni kutafuta namna ya kumfikishia row materials za chakula kwake ( kama haumuamini)
Mi Nina uhakika kuna watoto wa wako kwenu chato hawana chakula, kwa nini usianze nao hao kabla ya hawa wa Hanoi forums?
Swali lako ni la Kijinga, kwa maisha haya smartphone anaweza kuwa nayo mtu hata ya 500,0000 na hana hela ya kula!
Ina maana akiuza huyo smart phone aka tokea kwenye mtandao, na mawasiliano hiyo hela ataila mpaka afe?
Namna pekee ya kumsaidia mtu ambaye hana hata chakula, ni kutafuta namna ya kumfikishia row materials za chakula kwake ( kama haumuamini)
Mi Nina uhakika kuna watoto wa wako kwenu chato hawana chakula, kwa nini usianze nao hao kabla ya hawa wa Hanoi forums?
hii dunia ina vitimbwi sana duuh
asee kuna rafki yangu pumu inamsumbua kama kuna dawa ya uhakika waweza kuwa msaada kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende maduka ya kisuna atapata dawa ..mm iliyoniponesha ni shifmint!
Amna mkuu ni mipango ya mungu tu mkuu siku hake ilifika
Mkuu umenena,asante kwa mchango mzuriNi Sawa na una shida kwahio uuze kitendea kazi chako, no sio sahihi! Hata hivyo "smartphone ya shilingi ngapi" does guarantee kiwango cha shida au kiwango cha kuhitaji msaada. Very soon itakua kama basic need tu kuwa na smartphone. Sasa Mpwa nikiuza smartphone nitawezaje kutafuta kazi, kuperuzi taarifa za kazi na kutuma maombi???
Kwa mtazamo wangu, ingekua Mimi ningekusaidia kwa kadiri Mungu atakavyosaidia bila kuwa judgemental. Maana kama unaanza kuniuliza "simu ya shilingi ngapi", then possibly utaniuliza umevaa nguo za shilingi ngapi, viatu vya bei gani, umekula msosi wa bei gani, unaishi nyumba ya bei gani etc.
Kuwa na shida, stress, depression and the like hadi kufikia hatua ya kajinyonga au kuomba msaada doesn't mean niwe na simu ya being ndogo, niwe rough, nisiwe na makazi mazuri, No, TUNATOFAUTIANA KIWANGO CHA UHITAJI kwahio ukishindwa kunisaidia kwa sababu ya "bei ya simu" nitakushangaa Mpwa.
Miaka kadhaa hapa jukwaani alijitokeza binti mmoja akaanzisha Uzi kuwa "Anauza Uchi ili aweze kuishi mjini na apate ada". Nilimfuata inbox tukaongea kwa kirefu sana na niliweza kumpa nilichompa, nimefurahi siku moja kumuona amekua AGENT anatangaza bidhaa sake kwenye makundi ya WhatsApp.
Sasa tukisema uza simu au lugha yoyote yenye uelekeo wa kuwa judgemental hatutakua tunawasaidia, wengine tunahitaji maneno ya faraja tu.
Hapo vipi Mpwa, nikutakie Siku njema.
Wewe bhana ukihitaji kusaidia mtu saidia, sio unaanza maneno maneno!Ajasema Smartphone kasema Smartphone ya beigani hivi serious mtu anakulilia njaa kula yake ya leo haijui akila leo kwabati mbaya hajui kesho anaamkaje He/She know nothing about where their next meal come alafu mtu huyu ana miliki IPHONE 11 kwako nibora akae na hiyo Smartphone kuliko kuuza na kununua Tecno Spark 2 pesa aliyopata afanyie miundombinu ya kusurvive
Useless bratDeleted for some reasons
Husijiue kama sijasuuza mkuu