All the best man....ah mie ninachoona ni kwamba ata umpende mwanamke bado mwisho wa siku wao wanaangalia nini unacho na sio kwamba wanakulenda for who u r. So why then nitumie energy yangu kumpenda mrembo.sema kutakuwa na reason behind ya hayo yote labda ulipigwa matukio, sifahamu
nataka nizame najitosa tu nimpemde binti wa mtu this time kiukweli akinipiga matukio sawa...mapenzi ni hali ya “Sink or swim lakin” what if i swim si ntaibuka kidedea na ikitokea bahati mbaya nikazama sio mbaya ajali kazini,
Then hapo na mm ntakuwa kama wewe sasa
Wee tugegeduane tuu tuenjoy life bila stress