All the best man....ah mie ninachoona ni kwamba ata umpende mwanamke bado mwisho wa siku wao wanaangalia nini unacho na sio kwamba wanakulenda for who u r. So why then nitumie energy yangu kumpenda mrembo.sema kutakuwa na reason behind ya hayo yote labda ulipigwa matukio, sifahamu
nataka nizame najitosa tu nimpemde binti wa mtu this time kiukweli akinipiga matukio sawa...mapenzi ni hali ya “Sink or swim lakin” what if i swim si ntaibuka kidedea na ikitokea bahati mbaya nikazama sio mbaya ajali kazini,
Then hapo na mm ntakuwa kama wewe sasa
All the best man....ah mie ninachoona ni kwamba ata umpende mwanamke bado mwisho wa siku wao wanaangalia nini unacho na sio kwamba wanakulenda for who u r. So why then nitumie energy yangu kumpenda mrembo.
Wee tugegeduane tuu tuenjoy life bila stress
Kati ya ngongoti Na mbegu fupi, omoro...unachukua yupi?Wewe NI ngongoti au tunaita Oscar makoye, yaani NI abnormal
Sema mrefu +hela + usiwe bahili + awe smart ana nvuto fulani hata kama sura mbaYa hapa hata limbwata utapewa tu[emoji23][emoji23]
Wewe hana? Basi tafuta pesa ndo pona yako.Mavigezo yote hayo
Sawa, je na ww unavyo vigezo maana tusiangalie upande mmoja...smart, funny, beautiful, tackle, not short and kind heartedWewe hana? Basi tafuta pesa ndo pona yako.