Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

Kwakweli dua zote tunawaombea YANGA mshinde ...mtainua Taifa..mtainua na team ivi ni raha ilioje wanayoipata portugese kumuona Cr7 na Bruno wanacheza team kubwa duniani na wanakiwasha vbya mno?? Mechi za kimataifa ni muhimu sana kushinda
All ze besti YSC
Bravo
 
Asubuhi tu, twendeni Wenye Nchi.....One team,One dream...!
Tusisahau Dua...jamaa zetu Wanapumulia Machine.
 
Yanga hawana Fair Play kabisa, hata hivyo wamebebwa kucheza kimataifa hawajawahi kuishukuru Simba kwa kuwabeba.
Mwaka jana kazi yao ilikuwa.
1. Kuwapokea wageni
2. Kuwaongopea kuwa Simba inapuliza madawa vyumbani ili kudhoofisha timu pinzani, hadi kupelekea timu ngeni kugoma kuingia vyumbani.
3. Kuwashangilia kwa nguvu zote wageni.
4. Wakafika mbali hadi kuanza kuwapiga washabiki wa Simba uwanjani mfano Bigi.
Nakadhalika
Waache wafungwe tu warudi kuwalaumu Marefa na TFF.
Hawana Fair Play kabisa hawa wajitu.
Brother hawa kuwaita majitu unawapendelea hawa ni MBWA (kwa hisani ya luc eymael) hawana shukrani kabisa hawa nyani.
 
SANA KABISA WAPIGWE TENA NYINGI TU HAKUNA CHA UZALENDO NA YANGA HAWA HAWANAOKWENDA AIR PORT KUWAPOKEA WAPINZANI WETU.
Hakuna uzalendo Yanga wapigwe warudi nyumbani ,nitaombea mafanikio timu zingine ila siyo Yanga
 
Mnakumbuka mlisema hivi?
 
Hakuna uzalendo Yanga wapigwe warudi nyumbani ,nitaombea mafanikio timu zingine ila siyo Yanga
Hawastahili dua zozote wahuni hawa
Mungu aibariki Rivers, nao ni watu
Unafiki sipendi,Rivers jipigie Utopolo kadri upendavyo.Simba tutapambana hadi nusu fainali ikiwezekana fainal mwaka huu tukisaidiwa na Azam na Biashara.
Endeleeni tu kuwanga. Ila ushindi leo ni lazima. Kila la heri chama langu la Yanga.
 
Leo yanga mnahitaj maombi ili mshinde wakat Simba kipind anapamban Champion league msimu uloisha mliona raha simba ipigwe mapema ili wote tubak kupambna na ligi la bongo
Mim naona hapana mkuu kila mtu apambane kivyake tena
Rivers united piga yanga goli 2 kavu bila Condoms itaeleweka tu leo..!!
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!

OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?

Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee. SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata ya Kucheza dhidi ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.

Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite.

Yanga Ipite jamani.

Yanga IPITE round hii.

Bila kujari mdomo wa Msemaji. Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.

Ni hayo tu.
Jingaaaa wewe. Why not kwa Biashara na Azam. LAZMA MTOLEWE

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Siwezi kupoteza muda wangu kuwaombea dua UTOPOLO wakati walishatolewa tayari.
 
Hapa ndipo utakapojua kuwa simba kama simba ina akili ila baadhi ya mashabiki matahira yanayo reply ndio shida.

Big up mleta uzi tutashinda leo muda uongee
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!

OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?

Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee. SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata ya Kucheza dhidi ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.

Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite.

Yanga Ipite jamani.

Yanga IPITE round hii.

Bila kujari mdomo wa Msemaji. Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.

Ni hayo tu.
Ni sawa na kuombea swala amle nyma simba.

Wala sijisumbui, hawajaandaa timu kiushindani unategemea nini? Wampe manara acheze maana wenzao Azam na Biashara wanajiandaa wao wanashangilia usajili wa manara
 
Kuziombea dua timu za Tanzania ni kumsanifu Mungu. Soka la Tanzania limejaa vigisufikisu pamoja na ushirikina. Ni Mungu gani atakaye kubali kushiriki kwenye mchanganyo wa namna hiyo?
 
Kwanza ni dhambi kuwaombea watu ambao hawaamini katika fair play.
Kweli mkuu watu wanawapulizia wenzao vumbi la kongo vyumba vya kubadirishia nguo ila wanaona ni fair play iyo na wanawahukumu wengine
 
nendeni kwa nabii wenu mashimo mkafanye hayo maombi na sisi tutaenda kwa Mungu wetu kuomba Rivers washine tuone Mungu gani wa ukweli
 
Back
Top Bottom