Kama wewe ni mfanyabiashara hii mikoa bila ndumba hutoboi

Ndumba ni imani. Hapo Dar wenyewe wanajisemea wanavyoenda kwa waganga ili kuvuta wateja.
 
Ndumba ni imani. Hapo Dar wenyewe wanajisemea wanavyoenda kwa waganga ili kuvuta wateja.
Dar huko hakuna sema watu wa mikoani wakija dar wanaanza mambo yao ila dar ni pow sana hata ukianzisha biashara ya kuuza matunda barabarani utauza tu bila hata dar ila nenda hio mikoa uone vumbi🤣
 
Hapo naona umewalenga zaidi Wakinga, Wasukuma, na Waha.

inasikitisha hadi leo Karne ya 21 watu wanaliamini giza
 
Inategemea biashara ya aina gani unafanya. Biashara ni uwanja mpana. Mfano biashara ya mazao ya miti au viwanja nayo inahitaji ndumba?
 
Kwa JINA LA YESU KRISTO lenye uweza lenye nguvu za milele watafanikiwa. AMEN
 
Dar huko hakuna sema watu wa mikoani wakija dar wanaanza mambo yao ila dar ni pow sana hata ukianzisha biashara ya kuuza matunda barabarani utauza tu bila hata dar ila nenda hio mikoa uone vumbi🤣
Hujui unaloliongea. Na unaweza kuta idadi ya waganga Dar ni kubwa kuliko mkoa wowote
 
Toa Mwanza, weka Morogoro aisee
 
Inategemea biashara ya aina gani unafanya. Biashara ni uwanja mpana. Mfano biashara ya mazao ya miti au viwanja nayo inahitaji ndumba?
Biashara ni biashara tu iwe ya mbao iwe ya mazao vyote ni ndumba tu
 
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection 🇹🇿
NoReformNoElection
 
Natembea zangu town mara gafla najikuta naingia dukani kununua tshirt na wala sikuwa na mpango, ile narudi geto naanza kuwaza hivi hili tishet mbona baya hivi, nini kilinisukuma nika nunua na wala sikuwa na mpango
Kumbeee😄😀
 
Ndumba ni imani. Hapo Dar wenyewe wanajisemea wanavyoenda kwa waganga ili kuvuta wateja.
Huo ni utumwa wa promotion za waganga. Ndyo maana huko kote wahind na wachina wanawagaragaza wazawa kwa sababu ya imani za kishenzi, either mtu amepta mtaji kupitia mkopo mkubwa wa bank (huu ndyo uchaw usioumiza), anaona halitoshi ana kaimisha majukumu yooote kwa sangoma ndyo aisimamie bashara yake.STUPUDITY ya waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…