Mkuu mimi ni mpenzi wa scania, uchawi wa Ally's utawezaje kunifanya niaje kukata tiketi Katarama?Sawa, emu nitajie mtu aliye kwenye biashara ya mabus na hatumii uchawi...
Hukunielewa, namaanisha huw3zi kununua bus ukapita route ya katarama au allys bila uchawi.Mkuu mimi ni mpenzi wa scania, uchawi wa Ally's utawezaje kunifanya niaje kukata tiketi Katarama?
Sasa si kama katarama tu alivyouingia ufalme wa Ally"s, alisoma upepo wadau wanapenda nini akawapatia.Hukunielewa, namaanisha huw3zi kununua bus ukapita route ya katarama au allys bila uchawi.
Sio rahisi mkuu, ukitaka kuielewa hii biashara mtafute mohamed enterprises atakueleza kilichomkuta...Sasa si kama katarama tu alivyouingia ufalme wa Ally"s, alisoma upepo wadau wanapenda nini akawapatia.
Umekaa kijiweni au chumbani unajiandikia kila upuuzi unaohisi. We jinga umeishi mikoa yote hiyo? Acha kuandika upuuzi wwte kwa hisia zako tu.● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
Kama unadhani Waafrika peke yao ndio wanatumia ndumba kwenye biashara, hakika hujakua.Huo ni utumwa wa promotion za waganga. Ndyo maana huko kote wahind na wachina wanawagaragaza wazawa kwa sababu ya imani za kishenzi, either mtu amepta mtaji kupitia mkopo mkubwa wa bank (huu ndyo uchaw usioumiza), anaona halitoshi ana kaimisha majukumu yooote kwa sangoma ndyo aisimamie bashara yake.STUPUDITY ya waafrika.
nimekulia kwenye hizo ndumba, it doesn't work, it's an illusion.Kama unadhani Waafrika peke yao ndio wanatumia ndumba kwenye biashara, hakika hujakua.
Kumbuka wakinga wameikamata kariakoo!...kwa hiyo pale hamna ndumba siyo?● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
mimi ni half mkinga, pia mimi nilifikiri ni ndumba, sasa nakupa fact kuhusu success za wakinga, na wengi si wasomi,Kumbuka wakinga wameikamata kariakoo!...kwa hiyo pale hamna ndumba siyo?
siyo uchawi wameleta discipline ya biashara, mbona wakati wapemba na wahindi wana dominate economy ya Dar, hamkusemani ndumba au majini? wakinga wamekuja wakaifuta status qou, basi ni watu wa NDUMBA kwa sababu hawastahili 😡Kwan dar niyawakinga au wazaramo? wakinga wameleta uchawi wao kutoka huko iringa
hii ni cynicism, wazaramo hawajawahi dorminate Dar kwa biashara, bali ilikuwa ni wapemba na wahindi na ilikuwa ni big OK, hawakuwa na ndumba kwa sababu ni watu sahihi kuwa matajiri, mkinga amekuja ku dominate na kuifuta "status quo", mi africa haijikubali utajiri usio na ndumba unawahusu wageni (wapemba, waarabu na wahindi), lakini mswahili hasa mkinga hastahili kuwa tajiri na hana uwezo huo ila anataumia black majic/NDUMBA 😡Kwan dar niyawakinga au wazaramo? wakinga wameleta uchawi wao kutoka huko iringa
Wakinga mali zao ni zamauzauza tu ninawafahamu vizuri sana kwa ndumba ni noumasiyo uchawi wameleta discipline ya biashara, mbona wakati wapemba na wahindi wana dominate economy ya Dar, hamkusemani ndumba au majini? wakinga wamekuja wakaifuta status qou, basi ni watu wa NDUMBA kwa sababu hawastahili 😡
Wakinga hawakuja gafla wame grow through effort ndyo maana initially hawa kuwa visible, wametoka Njombe waka conquer, njia yote waliopita i.e mbeya, morogoro, pwani na Dar (kama safari ya vita ya Shaka Zulu), now they are hearding to ZNZ😛
Mkuu hao wakinga ni balaa nawafahamu vizuri sana kwaio ninachokiandika sibahatishihii ni cynicism, wazaramo hawajawahi dorminate Dar kwa biashara, bali ilikuwa ni wapemba na wahindi na ilikuwa ni big OK, hawakuwa na ndumba kwa sababu ni watu sahihi kuwa matajiri, mkinga amekuja ku dominate na kuifuta "status quo", mi africa haijikubali utajiri usio na ndumba unawahusu wageni (wapemba, waarabu na wahindi), lakini mswahili hasa mkinga hastahili kuwa tajiri na hana uwezo huo ila anataumia black majic/NDUMBA 😡
Siyo kariakoo tu, wakinga wametoka njombe kila walipopita (Mafinga, Brings, Morogoro, pwani) wameshinda vita finally gafla wameikamata Dar, haikuwa gafla walikuwepo sana kabla hawajakua, sasa wanaonekana inakuwa kama wametua gafla kwa ushrikina, safari yao wamekuwa washindi kila walipopita kama ilivyokuwa jesh la Shaka Zulu, toka SA mpaka kwa wangoni alipita kwa vita na kushindaKumbuka wakinga wameikamata kariakoo!...kwa hiyo pale hamna ndumba siyo?
Hata mi nilifikiri hivyo (IGNORANCE) hakuna teknologia ya ndumba ya kufanya mtu awe successful kwa biashara, ni discipline na kushare capital amongst them.Wakinga mali zao ni zamauzauza tu ninawafahamu vizuri sana kwa ndumba ni nouma
Tunaomtegemea Mungu,tunapiga tuu bila Nomas!● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
Madalali kutwa kwa waganga hao wa viwanja Ndio usiseme!Inategemea biashara ya aina gani unafanya. Biashara ni uwanja mpana. Mfano biashara ya mazao ya miti au viwanja nayo inahitaji ndumba?
Na Mbeya,Songwe Bwana!Ni uduni tu wa fikra na imani chafu za kishirikina ndiyo vimekupeleka kwenye conclusion za namna hiyo.
Mtegemee Mungu kwa kila jambo, fanya kazi kwa bidii, utayaona mafanikio.
Watu wa Njombe, wanajituma sana kwenye kazi, na hawana maneno mengi.
Marehemu Makweta aliwahi kusema kuwa alipoenda kwenye jumba la makumbusho ya makoloni ya Ujerumani, alikutana na waraka mmoja toka Tanganyika kwenda kwa watawala wa Ujerumani, ukisema kuwa, Itapita miaka mingi mpaka Tanganyika kuhitaji matrekta kwa sababu kazi zinazofanywa na matrekta, zinaweza kufanywa na watu wa kutoka maeneo ya Iringa, Ruvuma na Kigoma.
Tena wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA, ukienda kuomba kazi, swali la kwanza lilikuwa, unatoka wapi? Ukisema Tanga au Dodoma au Mtwara, unaambiwa kazi hakuna. Ukisema unatoka Njombe au Kigoma, unaambiwa, kimbia haraka uuangane na wenzako, uanze kazi. Yote hiyo ikidhihirisha kuwa watu wa maeneo hayo, kiasili ni wachapa kazi hasa.
Sasa hivi, kutokana na bidii yao, wamefanikiwa kumiliki biashara nyingi Kariakoo na hata Dodoma. Halafu, wengi wao siyo chawa wa wanasiasa, wanategemea zaidi bidii yao ya kazi.
Makampuni ya Soda,Sigara, voucher nayo yanaenda kwa mganga?!!Ni akili mibovu tuu zinazoamini uganga!Juhudi na maarifa,Mungu ndie hutoa.!Sawa, emu nitajie mtu aliye kwenye biashara ya mabus na hatumii uchawi...