Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

Wanaume wanatumia pombe kama kilainishi cha kumpata mwanamke.Hawa watu wakilewa hawanaga ujanja kama ulivyo isemi kuwa ' kumsukuma mlezi ni rahisi "
 
Kwa uzoefu wangu.

Wanawake wanaoenda bar , tena wale wanaokaa had usiku flan hivi, weengi sana beki hazikabi mbele ya wanaume wenye hela.

Wachache sana, tena wenye umri 30's huko ndio wana ustaarabu, ila sio wote.

Kunywa kiistarabu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Uzi zingine bana
We starehe za watu zinakuhusu nn?
Kwanza how old r u?
 
Ukweli mtupu imenitoke nipo mbwii+mke wa mtu club+saa saba usiku=......kilichotokea nilikifurahia lakini sipendelei.....msiwaaache waende peke yao wengine tukilewa tukitongoza hakuna kiumbe aliyewai kuchomoa
 
tofautisha mlevi na mnywa pombe mkuu, sasa tusipokunywa nani atakunywa? basi wangeandika ni za wanaume tu

hahahahhahaah napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…