Kama wewe ni mpiga nyeto hii inakuhusu

Naunga mkono hoja, doctor Isack Ndodi aliwadanganya watu wengi sana kuhusu kupiga nyeto, na siku zote ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kupinga kitu fulani basi jua hicho kitu ndo kina faida lukuki.

Mbona Dr. Isack Ndodi naye ananyetuka siku hizi?
Nyeto imeanza tangu eden kwa Adam Mpaka Sir God akampa Eva, jamaa amepiga nyeto kwa zaidi ya miaka 500 na hajawahi kupata madhara, ndio madhara yaje leo 😂
 
Uko sahihi mkuu. Njia pekee ya kuacha nyeto kwa mtu aliyefikia umri wa kuoa ni kuoa tu. Pia huyu mleta uzi aache kabisa kutazama porn. Hicho ni kichocheo kikubwa cha nyeto.
 
POLE SANA

Ila PUNYETO is safe sex na Kama unataka kutunza Afya yako hiyo itakusaidia .

Hasa ukiwa unafanya Kazi zinazohitaji matumizi makubwa ya akili na kufikiri.
 
Uko sahihi mkuu. Njia pekee ya kuacha nyeto kwa mtu aliyefikia umri wa kuoa ni kuoa tu. Pia huyu mleta uzi aache kabisa kutazama porn. Hicho ni kichocheo kikubwa cha nyeto.
Nyeto na Porn ni mapacha wafananao.. Alipo anza sema anatazama porno hata ya lisaa lizima, alafu apigi nyeto, napata mashaka nae.. tena hasa Kwa yeye ambae amenyetuka Kwa zaidi ya miaka 10
 
Kila mtu ana aina yake ya hilo zoezi so huwaezi jua anatumia aina gani?
 
Kwahiyo ukichelewa kufunga goli nalo tatizo kumbe

Na wanaowahi nao ni tatizo

Sasa muda special ni upi😅
 
Mkuu, hapo upo kwenye flatline... Kuanzia week 2 zijazo, hali itarejea kwa kasi sana.

Ukimudu hapa, itakuja nyingine ya moto zaidi. Ukiishinda hii, walau unaweza kusema umeweza kujidhibiti.

Kimsingi watu hawaachi ila wanapumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…