Kama wewe ni muajiriwa na kipato chako na taarifa zako limited sio lazima uanzishe biashara. Utalia na kusaga meno

Muajiriwa huna mda wa kusimamia biashara zako achana na biashara utalia watu hawana huruma na hela yako.
Bora kafungulie zipu au vizibo uinjoi kama hauna uchungu na pesa zako.
 
Hii utt mie nataka kuijua kwa ndani zaidi.
Nikiweka mil 35 naweza pata laki 5 kwa mwezi?
Sikumbuki interest ni kiasi gani lakini huwa ni kati ya 11 - 12% per year. Kwa hiyo kwa milioni 35 ukipiga hesabu per year sidhani kama itafika hata 400k per month..

Lakini ni bora kuliko makato ya bank na pengine inaweza saidia kwa vitu vidogovidogo
 
Mweee sasa sii bora nikabet tuu million 10 kama mtaji hiyo laki 400 naite geneza kwa wiki
 

Ukiwa mfanyakazi ni bora uwe investor.. kufanya biashara lazima uwe umejipanga kwa kila kitu kufeli na kufaulu..
 
Nitafutie wateja sasa
Wiki iliyopita niliona thread ya kitambo sana humu na nilivyoona comment yako ndio nikajua hata wewe ni wa kitambo tofauti na nilivyokuchukulia kama generation Z.. Kwa hiyo fungua ofisi mwananyamala, wateja hukosi mkuu ๐Ÿ˜
 
Wiki iliyopita niliona thread ya kitambo sana humu na nilivyoona comment yako ndio nikajua hata wewe ni wa kitambo tofauti na nilivyokuchukulia kama generation Z.. Kwa hiyo fungua ofisi mwananyamala, wateja hukosi mkuu ๐Ÿ˜
Sio ofisi iwe ghettoni kwangu
 
Aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
 
35m, hapo atapata around 300k-320k haizid hapo
 
Wewe tu mwenyewe akili yako fupi! Mbona yapo majamaa mengi tu yametoboza!
 
Dah sijui kwa nini naamini kwenye kilimo na ufugaji zaidi๐Ÿค”
Kwasababu unaogopa kufanya kitu nje ya kilimo na ufugaji unahisi utachoma mtaji na huko kwenye kilimo na ufugaji unahisi hautachoma mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ