Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 we jamaa kila siku unauliza tuuHii utt mie nataka kuijua kwa ndani zaidi.
Nikiweka mil 35 naweza pata laki 5 kwa mwezi?
Ujue sijapata majibu yaliyo nyooka😂😂😂😂😂 we jamaa kila siku unauliza tuu
Naelewa wengi wanadhani ni kama ponzi scheme ilhali ni kama broker walio chini ya wizara ya Fedha wanaochukua fedha yako na kuiwekeza katika masoko ya fedha mbalimbali na kisha kukupa riba.Mwanzoni nilikua siwaamini
Sikumbuki interest ni kiasi gani lakini huwa ni kati ya 11 - 12% per year. Kwa hiyo kwa milioni 35 ukipiga hesabu per year sidhani kama itafika hata 400k per month..Hii utt mie nataka kuijua kwa ndani zaidi.
Nikiweka mil 35 naweza pata laki 5 kwa mwezi?
Mweee sasa sii bora nikabet tuu million 10 kama mtaji hiyo laki 400 naite geneza kwa wikiSikumbuki interest ni kiasi gani lakini huwa ni kati ya 11 - 12% per year. Kwa hiyo kwa milioni 35 ukipiga hesabu per year sidhani kama itafika hata 400k per month..
Lakini ni bora kuliko makato ya bank na pengine inaweza saidia kwa vitu vidogovidogo
Kama unaitengeneza ni sawa au unaweza kopesha kausha damu mkuu 😁Mweee sasa sii bora nikabet tuu million 10 kama mtaji hiyo laki 400 naite geneza kwa wiki
Kupesha kausha damu ikoje...hii naona kwa wadada iko poa maana asipolipa anakupea mbususuKama unaitengeneza ni sawa au unaweza kopesha kausha damu mkuu 😁
Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina
Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.
Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato
Ukiwa mfanyakazi ni bora uwe investor.. kufanya biashara lazima uwe umejipanga kwa kila kitu kufeli na kufaulu..Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina
Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.
Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato.
Ni kwelii ila watu wanafanya maamuzi kama wamekunywa biaa lazima wajue uhalisiaa wa biasharaKuna comment mtu unasoma hadi unabubujikwa machozi, hii ni mojawapo.
Kwakweli kufeli ndio kujifunza
"Mafanikio hayaji katika njia iliyonyooka" 🤝
Ayi misi yu ze mahi ticha hofu mahi dirimuUsitutishe bro.....
Nilitoa suggestion kutokana na mlengwa. Hakika umenielewa 😁Kupesha kausha damu ikoje...hii naona kwa wadada iko poa maana asipolipa anakupea mbususu
Nitafutie wateja sasaNilitoa suggestion kutokana na mlengwa. Hakika umenielewa 😁
Wiki iliyopita niliona thread ya kitambo sana humu na nilivyoona comment yako ndio nikajua hata wewe ni wa kitambo tofauti na nilivyokuchukulia kama generation Z.. Kwa hiyo fungua ofisi mwananyamala, wateja hukosi mkuu 😁Nitafutie wateja sasa
Sio ofisi iwe ghettoni kwanguWiki iliyopita niliona thread ya kitambo sana humu na nilivyoona comment yako ndio nikajua hata wewe ni wa kitambo tofauti na nilivyokuchukulia kama generation Z.. Kwa hiyo fungua ofisi mwananyamala, wateja hukosi mkuu 😁
Aisee🙌🏽Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina
Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.
Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato.
35m, hapo atapata around 300k-320k haizid hapoSikumbuki interest ni kiasi gani lakini huwa ni kati ya 11 - 12% per year. Kwa hiyo kwa milioni 35 ukipiga hesabu per year sidhani kama itafika hata 400k per month..
Lakini ni bora kuliko makato ya bank na pengine inaweza saidia kwa vitu vidogovidogo
Wewe tu mwenyewe akili yako fupi! Mbona yapo majamaa mengi tu yametoboza!Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina
Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.
Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato.
Kwasababu unaogopa kufanya kitu nje ya kilimo na ufugaji unahisi utachoma mtaji na huko kwenye kilimo na ufugaji unahisi hautachoma mtaji.Dah sijui kwa nini naamini kwenye kilimo na ufugaji zaidi🤔