Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
๐๐๐Huyo ndio Mpaji Mungu mwenyewe
Mi nlimuuzia miwa yule dereva aliezamisha meli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Huyo ndio Mpaji Mungu mwenyewe
We mtu mbadi sana na ulijua fika utamu wa ule muwa utazamisha meli ๐๐๐๐
Mi nlimuuzia miwa yule dereva aliezamisha meli
Kwa hiyo wewe ndio ulimpa utamu mpaka akazamisha meli,maana pale Kuna lugha ya kificho imetumika,miwa inayozungumziwa ni papuchi๐๐๐
Mi nlimuuzia miwa yule dereva aliezamisha meli
๐๐๐๐๐NyambaaaaaafWe mtu mbadi sana na ulijua fika utamu wa ule muwa utazamisha meli ๐
Tola huyu hapa
KAMA WEWE NI MUHENGA,HUYU JANJA ANAITWA NANI?View attachment 3143508
Mimi ndio nilie ng'ata lile aple la kwenye iphone๐๐๐
Mi nlimuuzia miwa yule dereva aliezamisha meli
Umetisha sana mwenetu ๐๐ Sema ungeing'ata pakubwa bnMimi ndio nilie ng'ata lile aple la kwenye iphone
๐๐๐๐ Au sioUmetisha sana mwenetu ๐๐ Sema ungeing'ata pakubwa bn
Nilikua nawai kuweka chumvi baharin ndo mana nime ng'ata padogo๐๐๐Umetisha sana mwenetu ๐๐ Sema ungeing'ata pakubwa bn
๐ nawewe ndio baba yake hawa the bus driver๐๐๐๐๐Nyambaaaaaaf
Mi ndo yule jamaaa aliepita na binti wa mfalme baada ya kumfamya mfalme aseme Laaa! Laaa! Laaaaaaa!๐ nawewe ndio baba yake hawa the bus driver
Huyu alikuwa Mwanza huko mitaa ya kona ya Bwiru namsahau tu jinaKAMA WEWE NI MUHENGA,HUYU JANJA ANAITWA NANI?View attachment 3143508