Kama wewe ni mwalimu haya maswali yanakuhusu

Kama wewe ni mwalimu haya maswali yanakuhusu

1. Je, wanafunzi wetu wanaelewa/wanasoma?
2. Walimu wanajua kufundisha?

1. Are our students learning?
2. Do we (teachers) know how to teach?
Changamoto za kimaisha zimewaondoa wanafunzi kwenye interest za kusoma na hata walimu kwenye interest ya kufundisha

Kiufupi makundi hayo yapo kutimiza wajibu tu ila malengo na morali vimehama
 
Kati ya walimu walionifundisha nikawakubali ni mwalimu wangu wa darasa la tano hadi la saba alinifundisha Kiswahili na masomo ya Maarifa ya Jamii.

Kuna vitu vingi nje ya masomo alinifundisha naishi navyo
 
Mwalimu: Ni nini maana kufundisha? Je, unajua kufundisha? Hili ndiyo swali langu la msingi kwa walimu. Walimu mpo?
 
Mwalimu: Ni nini maana kufundisha? Je, unajua kufundisha? Hili ndiyo swali langu la msingi kwa walimu. Walimu mpo?
Mbona swali jepesi sanaa, wewe umepita shule mpaka hapo unajionaje? Namna unavyojiona ndioo majibu ya swali lako
 
Mbona swali jepesi sanaa, wewe umepita shule mpaka hapo unajionaje? Namna unavyojiona ndioo majibu ya swali lako
Mimi ni zao la "walimu ambao hawajui kufundisha"
Je, walimu wako wanajua kufundisha?

Walimu wengi wa sasa hatujui kufundisha
 
Mimi ni zao la "walimu ambao hawajui kufundisha"
Je, walimu wako wanajua kufundisha?

Walimu wengi wa sasa hatujui kufundisha
Walimu wanafundisha lakin tatizo ni kuwa most of students , and teachers hawajui kizungu
 
Walimu wanafundisha lakin tatizo ni kuwa most of students , and teachers hawajui kizungu
Umesema kweli wanafunzi, walimu wote hawajui kizungu. Kwa hiyo kukariri ndiyo ndiyo njia kuu ya kusomea
 
Walimu hawajui kufundisha kabisa. wanachojua ni kutukana wanafunzi kupunguza stress kwa kupitia wanafunzi ili wajione wanajua lakini unakuta mwalimu hana ethics na manners na uhusiano mzuri kati ya mwalimu na mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom