Kama wewe ni mwalimu haya maswali yanakuhusu

Nimepata ajira mwaka huu mwezi wa saba,nikakakosa mshahara wa mwezi huo,nauli nilikopa,sijapewa pesa ya kujikimu hadi Leo,shuleni hakuna nyumba za wakimu,nimeshindwa kulipia pango na kununua vyombo vya ndani then naulizwa kama wanagunzi wanaelewa.acheni utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…