Kama Wewe ni Mwana Simba Sports Club 'Mwenzangu' na 'unajiuliza' nini 'Kimeitokea' Timu yetu na sasa 'inafungwa' mfululizo haya ndiyo majibu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa anachomeshwa afukuzwe
4. Kocha Msaidizi Matola na Kocha wa Makipa Mwarami kuongoza kwa Majungu kwa Kipa Kakolanya kwa Kumpendelea Manula
5. Kuna Wataalam (Waganga) Wawili Mmoja kutoka Kisiwani na mwingine Morogoro wamedhulimiwa Pesa yao japo ilitolewa
6. Hali ya Uchumi sasa Klabuni si nzuri kutokana na 'Mwekezaji' Hela yake nyingi kuitoa Kukisaidia Chama fulani katika Kampeni
7. Usaliti mkubwa baina ya Viongozi 'Waandamizi' wa Klabu kutoka pande zote mbili za Mwekezaji na ule wa Wanachama

Mo Dewji na 'Poti' wangu Magori ambaye ni Mshauri Mkuu wa Mwekezaji ambao wote kwa ujumla najua huwa mnanisoma mno tu GENTAMYCINE hapa Jamvini (JamiiForums) tafadhalini upesi sana 'okoeni' hii hali kwa kuanzia huko 'Uongozini' Kwenu mlipo ila 'ikiwapendeza' upesi sana Vunjeni Benchi lote la Ufundi kwani Kocha Mkuu 'hasikilizwi' na Msaidizi Matola ana 'Majungu' kupitiliza.
 
Kuna wachezaji hawastahili kuwepo Simba.
Mpira wa sasa ni professional huwezi kucheza vibaya ili upate matokeo mabaya hii ni hasara kwa mchezaji zaidi.
Manara na washabiki wengine waache kukuza sana wachezaji wa Simba kina Ajibu, Mkude, Shabalala, Dilunga ingawa leo hakucheza, Morison, Mzamiru viwango vyao ni vya kawaida sana wanacheza kama wako peke yao uwanjani wameridhika mno
Kishingo hana plan B selection yake ni mbovu na anachelewa kufanya sub
 
pole mtani
kitengemaulid-___CG0EbERHh9K___-.jpg
 
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa anachomeshwa afukuzwe
4. Kocha Msaidizi Matola na Kocha wa Makipa Mwarami kuongoza kwa Majungu kwa Kipa Kakolanya kwa Kumpendelea Manula
5. Kuna Wataalam (Waganga) Wawili Mmoja kutoka Kisiwani na mwingine Morogoro wamedhulimiwa Pesa yao japo ilitolewa
6. Hali ya Uchumi sasa Klabuni si nzuri kutokana na 'Mwekezaji' Hela yake nyingi kuitoa Kukisaidia Chama fulani katika Kampeni
7. Usaliti mkubwa baina ya Viongozi 'Waandamizi' wa Klabu kutoka pande zote mbili za Mwekezaji na ule wa Wanachama

Mo Dewji na 'Poti' wangu Magori ambaye ni Mshauri Mkuu wa Mwekezaji ambao wote kwa ujumla najua huwa mnanisoma mno tu GENTAMYCINE hapa Jamvini (JamiiForums) tafadhalini upesi sana 'okoeni' hii hali kwa kuanzia huko 'Uongozini' Kwenu mlipo ila 'ikiwapendeza' upesi sana Vunjeni Benchi lote la Ufundi kwani Kocha Mkuu 'hasikilizwi' na Msaidizi Matola ana 'Majungu' kupitiliza.
Nataka kujua huyo aliyefadhili kipengere namba 5 karne hii ni nani?, wewe muhutu rudi kwenu kwa kagame maana huku unaandika mashudu
 
Mngeshinda yote yasingekuwepo yote kwa yote nafurahi sana kuona simba akifungwa
 
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa anachomeshwa afukuzwe
4. Kocha Msaidizi Matola na Kocha wa Makipa Mwarami kuongoza kwa Majungu kwa Kipa Kakolanya kwa Kumpendelea Manula
5. Kuna Wataalam (Waganga) Wawili Mmoja kutoka Kisiwani na mwingine Morogoro wamedhulimiwa Pesa yao japo ilitolewa
6. Hali ya Uchumi sasa Klabuni si nzuri kutokana na 'Mwekezaji' Hela yake nyingi kuitoa Kukisaidia Chama fulani katika Kampeni
7. Usaliti mkubwa baina ya Viongozi 'Waandamizi' wa Klabu kutoka pande zote mbili za Mwekezaji na ule wa Wanachama

Mo Dewji na 'Poti' wangu Magori ambaye ni Mshauri Mkuu wa Mwekezaji ambao wote kwa ujumla najua huwa mnanisoma mno tu GENTAMYCINE hapa Jamvini (JamiiForums) tafadhalini upesi sana 'okoeni' hii hali kwa kuanzia huko 'Uongozini' Kwenu mlipo ila 'ikiwapendeza' upesi sana Vunjeni Benchi lote la Ufundi kwani Kocha Mkuu 'hasikilizwi' na Msaidizi Matola ana 'Majungu' kupitiliza.
Pira bila ndom hunoga.
 
Ngoja kwanza tuwatekenye hiyo tarehe 7 Novemba ndipo muangalie namna ya kujiokoa na aibu iliyoanza kuwaandama. Mnachonga sana nyinyi viumbe.
 
1. Posho ya Wachezaji imekuwa ikipunguzwa na kuna muda hawakupewa kabisa isivyo kawaida na Mo Dewji anafichwa
2. Kuna Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji hali ambayo imesababisha Chuki na Majungu baina yao
3. Kocha Sven Vandebroek amechokwa kutokana na Misimamo yake ya Kutopangiwa Timu na sasa anachomeshwa afukuzwe
4. Kocha Msaidizi Matola na Kocha wa Makipa Mwarami kuongoza kwa Majungu kwa Kipa Kakolanya kwa Kumpendelea Manula
5. Kuna Wataalam (Waganga) Wawili Mmoja kutoka Kisiwani na mwingine Morogoro wamedhulimiwa Pesa yao japo ilitolewa
6. Hali ya Uchumi sasa Klabuni si nzuri kutokana na 'Mwekezaji' Hela yake nyingi kuitoa Kukisaidia Chama fulani katika Kampeni
7. Usaliti mkubwa baina ya Viongozi 'Waandamizi' wa Klabu kutoka pande zote mbili za Mwekezaji na ule wa Wanachama

Mo Dewji na 'Poti' wangu Magori ambaye ni Mshauri Mkuu wa Mwekezaji ambao wote kwa ujumla najua huwa mnanisoma mno tu GENTAMYCINE hapa Jamvini (JamiiForums) tafadhalini upesi sana 'okoeni' hii hali kwa kuanzia huko 'Uongozini' Kwenu mlipo ila 'ikiwapendeza' upesi sana Vunjeni Benchi lote la Ufundi kwani Kocha Mkuu 'hasikilizwi' na Msaidizi Matola ana 'Majungu' kupitiliza.
Nmeamua kufungua ID mpya kwaajili ya kudeal na watu kama nyinyi. Ndengereki!!!
 
Unajitetea bwana
 
Back
Top Bottom