GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi kama GENTAMYCINE kosa langu nitalisema baadae kwani ni kubwa na bado naendelea kutubu kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha huyo Ex wangu pamoja na kwamba ameshaolewa na kubahatika kuzalishwa watoto wake wazuri wawili wa kiume na kike.
Nawaomba wanaume tuliopo hapa JamiiForums tuseme ukweli juu ya kosa ulilomtendea Ex wako mpaka mkaachana na leo unalijutia na kama umeshamuomba msamaha au bado unapambana ukmuomba.
Karibuni.
Nawaomba wanaume tuliopo hapa JamiiForums tuseme ukweli juu ya kosa ulilomtendea Ex wako mpaka mkaachana na leo unalijutia na kama umeshamuomba msamaha au bado unapambana ukmuomba.
Karibuni.