GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
MINOCYCLINE ndiyo nani huyu Mkuu? Huu Uzi unamhusu au Yeye ndiye ameuanzisha?MINOCYCLINE ngoja huyo popoma hapo aje akujibu
Na bahati nzuri yupo ( tunae ) hapa hapa Jamvini na hii ID anaijua na ni Follower wangu pia kati ya Followers wangu wote 115+ nilionao mpaka sasa.Anza wewe kulisema na mimi ndo ntasema jinsi nilivyomkosea kwa kumficha Kuwa.....
Kwahiyo uliambiwa GENTAMYCINE hakazi ( hatii ) au hana Nyege au ni Mkuyengeless Sirini Kwake?Genta leo mada za mapenzi zimekuwa nyingi toka kwako Kuna Nini kinaendelea huko mtaani kwenu..
Ok back to the topic Mimi nililewa pombe nikawabeba wadogo zangu wawili mguu kwa mguu mpk kwa mpenzi Wangu Mary tutafika tukakutana na mama mkubwa wake ndo alikuwa anaishi Naye na Mary aliwahi kuniambia kuwa mama mkubwa wake NI Simba mkali Sana.
Nilimkosa Mary ila mamkubwa alinikata jicho Tena nakumbuka enzi hizo Nilikuwa Niko na double kick at least ingekuwa bia Mary alivopewa hio story alinitema ila nilikuwaga choka mbaya week ijayo nampango wa kwenda dar kumcheki Tena pengine atanitunuku ingawaje Nina goma lingine
Ndiyo maana unaona nimewaomba hapo Kiungwana na naamini Wanaume wa JamiiForums watashuhudia Ukweli wao.Watasema Sasa!?
Ni popoma msaidizi baada ya popoma mkuu GENTAMYCINE ...MINOCYCLINE ndiyo nani huyu Mkuu? Huu Uzi unamhusu au Yeye ndiye ameuanzisha?
Absolute Nonsense.
Minocycline si ndio wewe au?MINOCYCLINE ndiyo nani huyu Mkuu? Huu Uzi unamhusu au Yeye ndiye ameuanzisha?
Huyo MINOCYCLINE anajua kuwa Mnampenda na mpaka Kumshobokea hivi kila mara hapa JamiiForums?Wapi MINOCYCLINE , tunasubiri mchango wake wa kutukuka
Log out, ulogin kwa minocycline bana...Tumemiss hiyo IDUmekumbuka kumeza Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua leo?