Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Jikite kwenye madamkishaunganishiwa kazi na mashemeji zenu mnasumbua sana, unadhani kila mtu mjinga
Mungu atakupa...🤲2milioni?
nyingi sana hizo!
Mimi ile kurupu natakiwa nilipe lakimoja ili niokoe uhai wangu sina sehemu ya kukopa!
Yaani kwa ufupi naishi kama mtoto wa bata! Sijisifii ila uhalisia uko hivyo! Ingawa tunapambana sana ila wapi ngoma bado bila bila
Wewe bila shaka utakua kijana mdogo alie ajiliwa hivi karibuni, au mshamba au limbukeni alie toboa kwenye shule za ummah st kayumba. Au mjinga fulani fulani kwa kuzaliwa tu.Kuna kipindi huwa tunapata matatizo ya ghafla, eidha msiba, maradhi etc. Kipindi kibaya siku zote huja ukiwa hauna kitu yaani mweupe kabisa mfukoni na unakuta kuna uhitaji wa pesa.
Sasa kama wewe ni mwanaume haswa na hakuna sehemu unaweza ukaaminika ukaazimwa chochote iwe kazini, marafiki, ndugu au mtaani kwako jitafakari aiseeeh,
Kuna rafiki yangu nilimtafutia kazi mahali , vigezo vyote alikizi, ila tatizo lilikuja barua ya mdhamini hana, mpaka leo hii ninapozungumza amekosa kazi kwa ajili ya mdhamini, tuishi vizuri na watu.
Wanaume huwa tunaambiwa kwamba, kama huwezi/ hutaki kuwasaidia wanaume wenzako wanaohaha bila matumaini kusaka mlo wao wa siku, basi usiwadhihaki.Kuna kipindi huwa tunapata matatizo ya ghafla, eidha msiba, maradhi etc. Kipindi kibaya siku zote huja ukiwa hauna kitu yaani mweupe kabisa mfukoni na unakuta kuna uhitaji wa pesa.
Sasa kama wewe ni mwanaume haswa na hakuna sehemu unaweza ukaaminika ukaazimwa chochote iwe kazini, marafiki, ndugu au mtaani kwako jitafakari aiseeeh,
Kuna rafiki yangu nilimtafutia kazi mahali , vigezo vyote alikizi, ila tatizo lilikuja barua ya mdhamini hana, mpaka leo hii ninapozungumza amekosa kazi kwa ajili ya mdhamini, tuishi vizuri na watu.
Kwanza hueleweki, unazungumzia kuishi na watu vizuri au unazungumzia kua na connection ya pesa? Unaweza kuish ma watu vizuri ila ktk cycle huna wa kukukopesha iyo milioni unayosema.Jikite kwenye mada
Mkuu una hasira sana umekula lakini?Kwanza hueleweki, unazungumzia kuishi na watu vizuri au unazungumzia kua na connection ya pesa? Unaweza kuish ma watu vizuri ila ktk cycle huna wa kukukopesha iyo milioni unayosema.
Pumbav
Tena mbuzi fulani imevamia maisha ya mjiniWewe bila shaka utakua kijana mdogo alie ajiliwa hivi karibuni, au mshamba au limbukeni alie toboa kwenye shule za ummah st kayumba. Au mjinga fulani fulani kwa kuzaliwa tu.
Nikipata hela breki ya kwanza shamba sehemu tulivu nakunywa juisi ya pasheni!Mungu atakupa...🤲
Ukipata uje useme hapa
Rekebisha hapo kwenye ajiliwa weka ajiriwa.Wewe bila shaka utakua kijana mdogo alie ajiliwa hivi karibuni, au mshamba au limbukeni alie toboa kwenye shule za ummah st kayumba. Au mjinga fulani fulani kwa kuzaliwa tu.
Mradi uje useme..Nikipata hela breki ya kwanza shamba sehemu tulivu nakunywa juisi ya pasheni!
Baada ya hapo naangalia ni vipi nitaendesha miradi yangu
Cha msingi ni hapo kwenye kunywa juisi ya pasheni yn n muhimu sana kuupa mwili burudani then mambo mengine yafuate.Nikipata hela breki ya kwanza shamba sehemu tulivu nakunywa juisi ya pasheni!
Baada ya hapo naangalia ni vipi nitaendesha miradi yangu
exactly, anasound abnormal in mindsetWewe bila shaka utakua kijana mdogo alie ajiliwa hivi karibuni, au mshamba au limbukeni alie toboa kwenye shule za ummah st kayumba. Au mjinga fulani fulani kwa kuzaliwa tu.
Siku likikukuta jambo kiasi chochote kinachohitajika kitapatikana....kitatoka wapi? Mm na ww hatujui2milioni?
nyingi sana hizo!
Mimi ile kurupu natakiwa nilipe lakimoja ili niokoe uhai wangu sina sehemu ya kukopa!
Yaani kwa ufupi naishi kama mtoto wa bata! Sijisifii ila uhalisia uko hivyo! Ingawa tunapambana sana ila wapi ngoma bado bila bila
Wenzio walikufa kwenye MV Spice ukabaki wewe tu! Hizi hekima hazipatikani tena b…Wanaume huwa tunaambiwa kwamba, kama huwezi/ hutaki kuwasaidia wanaume wenzako wanaohaha bila matumaini kusaka mlo wao wa siku, basi usiwadhihaki.
Ikiwa umeweza kupata mrija wa kuwa na kipato kikubwa haimaanishi kuwa wewe una akili sana au mhangaikaji sana, na asiye na kipato kikubwa ni mjinga ama no mzembe sana.
Tusitumie uhuru huu wa majukwaa kwa kudhihaki ambao kwa sasa hali za vipato vyao si nzuri, na hata kuwa na threads kama hizi za kuwavunja moyo. Hata wao hawayapendi maisha wanayoishi.
Kama hatuwezi kuwasaidia, basi tuwatie moyo pengine kesho itakuwa zamu yao. Wataweza kuwa na uhakika wa mlo wa hata kesho kutwa yake.
Ova