hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaa unaona sasa jinsi ulivyotokwa na povu. ... sasa unadhani tz ni wapi
..
Hapa tumeongelea dar habari za Nairobi Zina toka wapi ...kwahiyo unaona kuwa Nairobi ni pazuri kuliko Hong Kong ..je ukifika huko siutalikana kabisa taifa lako mpaka kabila
..
Hapa tumeongelea dar habari za Nairobi Zina toka wapi ...kwahiyo unaona kuwa Nairobi ni pazuri kuliko Hong Kong ..je ukifika huko siutalikana kabisa taifa lako mpaka kabila
Hah kwl ww wa dar.Halafu watu wa hivi(malimbukeni) wa mzizima ni wengi sn.Ndo huwa mambo yenu haya et "Dar ndo Tz"Sasa ukifika Nairobi au Harare si utachanganyikiwa!!! hako ka mji ni Sawa na kijiji