Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard
Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako?
Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika.
Soma pia: Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini