K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Sep 12, 2024 #1 Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako? Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika. Soma pia: Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako? Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika. Soma pia: Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Sep 12, 2024 #2 Lissu njooo mjibu huyu
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 12, 2024 #3 Naunga mkono hoja.
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Sep 12, 2024 #4 Wanaccm wote, kuanzia Samia mpk yule wa chini kabisa, mtu kama Musiba, wote hawataki amani iwepo nchini
Wanaccm wote, kuanzia Samia mpk yule wa chini kabisa, mtu kama Musiba, wote hawataki amani iwepo nchini
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Sep 12, 2024 #5 Tagizo nchi hii, majitu yale yaliyo maovu kupindukia, yamepewa mamlaka ndani ya Serijali, hivyo yanatumia mamlaka yao Serikali kuendeleza ushetani wao.
Tagizo nchi hii, majitu yale yaliyo maovu kupindukia, yamepewa mamlaka ndani ya Serijali, hivyo yanatumia mamlaka yao Serikali kuendeleza ushetani wao.
G Guy of gisbon JF-Expert Member Joined Apr 22, 2024 Posts 564 Reaction score 803 Sep 12, 2024 #6 ukweli wanaujua sasa walete wachunguzi wa nini si itakuwa garama za bure?