Thubutu yani wakupe siri ya mchezo? Siri ya mafanikio yao ili na wewe uwe na nguvu sawa sawa na wao?NgaahSasa zitawekwa wapi..??? Maana kila mtu anayo haki ya kujua ili aishi maisha ya furaha na amani kama waishivyo Mason... Lakini pia ili waweze kumtumikia Mungu vyema kama wafanyavyo Mason..
Wewe si umezipata na kuzijua hizo siri zao...???Thubutu yani wakupe siri ya mchezo? Siri ya mafanikio yao ili na wewe uwe na nguvu sawa sawa na wao?Ngaah
Umekuwa unarudia rudia maneno. Mfano kama nikisema ivi "dhana ya Mungu yupo ni kweli kwa sababu kuna mbingu na ardhi, mbingu na ardhi zinathibitisja uwepo wa Mungu, kwa sababu kama hakuna mungu basi hakuna mbingu, dhana hii inathibitishwa kuwa kweli kuwa mungu yupo" ni kama umezunguka tu lakini bado hujafafanua. Kwenye Polygon unaweza kupata pembe tatu ukichora mistari yako ndani ya polygon.kwenye hio pembe sita unaweza ukaweka mistari na ukapata pembe tatu kwenye sita, kwa sababu kwenye idadi ya sita, 3 imo ndani.
Unatumia hoja dhaifu ya kulaumu kwanini Mungu anaachia maovu na maasi yanatokea duniani. Wakati yote haya ni matendo ya binaadamu,
na Mungu tayari ameshatangaza malipo yake nini kwa waovu na wema.
Kwaio binaadam ana freewill and not controlled,
binaadamj anacontrol his own destiny, ameshapambanuliwa lipi baya na lipi zuri..
Lakini wakati wewe unatumia hoja ya maovu ya dunia na kusema ndio maana Mungu hayupo,
basi mazuri yanayotokea duniani ni ushahidi wa kuwa Mungu yupo, kwa sababu yanaendana na sifa zake.
Sema kweli tu... MAISHA ndio haya haya... UsiogopeJust a concept .Not in details
Ambacho sijafafanua ni kipi?
Unaelewakwamba sijasemakwamba kwenye polygon huwezi kupata pembe tatu, nimesema hakuna pembe tatu ambayohapohapo nipembe tatu na pembe sita?
Unaelewa tofauti?
Kwanza unaelewa kwamba silaumu, nakosoa kutokuwepo kwa logical consistency?
Unaelewa hilo?
Pili, unasema yote hayo ni matendo ya binadamu, Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla binadamu hajaumbwa, alishindwa kuumba ulimwengu ambao binadamu hana matendo hayo na hawezi kuwa na matendo hayo?
Hujajibu swali hili, nimeshaliuliza kwakujua utakujana point hii. Hujajibu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Wewe leo una free will ya kurudi mwaka 1982?
Mnajichanganya, mara mnasema binadamu hajikomboi mwenyewe, ila kwa neema ya Mungu tu anakombolewa, mara mnasema binadamu ana uchaguzi mwenyewe.
Kipi ni kweli hapa? Ana freewill na ana contraol destiny au anapata kumjuaMungu na kwenda peponikwa neema ya Mungu tu?
Ambayo hujaijibu.
Kama mazuri ni ushahidi kwamba Mungu yupo, maovu ni ushahidi kwamba hayupo?
Unaweza kuthibitisha kwamba mazuri haya hayatokani na kingine chochote zaidi ya huyo Mungu?
Mimi naweza kusema angekuwepo, asingeweza kuruhusu mabaya yawepo, na mabaya yapo, kwa hiyo hayupo.
Wewe unaweza kuniambia imekuwaje Mungu huyoawepo halafu aumbe ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakatialikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
Sijajibu hiyo habarikwa kusemasijui lakini hata kama sijui hilo halimaanishi kwamba nikipewa jibu la uongo siwezi kulitambua?Pharao pamoja na mambo mengine amekuuliza kwa mtazamo wako , binadamu ametoka wapi? Asili ya ulimwengu ni nini?
" Wewe Leo una free will kurudi mwaka 1982? ".Why not?hata wewe unaweza ukitaka.Tena u can go beyond 1982.You can do that through imagination.Ambacho sijafafanua ni kipi?
Unaelewakwamba sijasemakwamba kwenye polygon huwezi kupata pembe tatu, nimesema hakuna pembe tatu ambayohapohapo nipembe tatu na pembe sita?
Unaelewa tofauti?
Kwanza unaelewa kwamba silaumu, nakosoa kutokuwepo kwa logical consistency?
Unaelewa hilo?
Pili, unasema yote hayo ni matendo ya binadamu, Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla binadamu hajaumbwa, alishindwa kuumba ulimwengu ambao binadamu hana matendo hayo na hawezi kuwa na matendo hayo?
Hujajibu swali hili, nimeshaliuliza kwakujua utakujana point hii. Hujajibu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Wewe leo una free will ya kurudi mwaka 1982?
Mnajichanganya, mara mnasema binadamu hajikomboi mwenyewe, ila kwa neema ya Mungu tu anakombolewa, mara mnasema binadamu ana uchaguzi mwenyewe.
Kipi ni kweli hapa? Ana freewill na ana contraol destiny au anapata kumjuaMungu na kwenda peponikwa neema ya Mungu tu?
Ambayo hujaijibu.
Kama mazuri ni ushahidi kwamba Mungu yupo, maovu ni ushahidi kwamba hayupo?
Unaweza kuthibitisha kwamba mazuri haya hayatokani na kingine chochote zaidi ya huyo Mungu?
Mimi naweza kusema angekuwepo, asingeweza kuruhusu mabaya yawepo, na mabaya yapo, kwa hiyo hayupo.
Wewe unaweza kuniambia imekuwaje Mungu huyoawepo halafu aumbe ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakatialikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
Siongelei imagination, naongelea physically, usitake kubadili swali." Wewe Leo una free will kurudi mwaka 1982? ".Why not?hata wewe unaweza ukitaka.Tena u can go beyond 1982.You can do that through imagination.
Nipo kitambo mkuu, angalia profile na mada nilizojibu kabla ya hii hapa.Hii mada bila shaka imekutoa mafichoni
Basi tunapishana mkuu,bila shaka we bukheri wa afyaNipo kitambo mkuu, angalia profile na mada nilizojibu kabla ya hii hapa.
Daah!Kuthibitisha ni nini ? Na Mungu ni nini ?
Sasa wewe unaamini Mungu wakati humjui?Kuthibitisha ni nini ? Na Mungu ni nini ?
Sio hivyo tu, afya yenyewe ikiugua inakuja kwangu kupata heri.Basi tunapishana mkuu,bila shaka we bukheri wa afya
Kwa vipi? Toa mfano ambao umekuwa verified beyond any level of doubt, elezea ni jinsi gani hili linawezekana.Swali lako lilkuwa open.Halikuwa closed that's y nimekujibu hivyo.Inawezekana kabisa .Hata ukitaka kurudi 1884 inawezekana