mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
ulishindwa hta kutofautisha harama na nyakati zinazopingana na mungu ambazo vitabu vingi vya dini vimeandika hayoSijakuelewa point yako
Unajua maana ya mjenzi huru? Unafahamu hilo hekalu linalo jengwa ni kitu gani? Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi kuhusu kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zote maana ningesema Mimi najua watu wenye mahaba na dini zao wangetoa povukule kwenye madhabahu zao kuna kila kitabu kitakatifu, inategemea unapendelea kipi katika kuapa.
bibilia,Quran,Torah, Thamapadra, gita,granth sahib, etc
Hata yesu alijaribiwa na shetani kwa maneno ya Bibilia. ndio maana sio ajabu kumkuta mason mkristo,muislam au dini yoyote hata kiongozi.
Ila nyuma ya pazia ambapo wewe unapaita siri, ndio panamtofautisha mjenzi huru na Mwabudu wa Kweli.
"Alchemically". That alone shows how quaint you are." I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study
Let me tell u onething .U have a very low and limited understanding about the true God.What is alama za nyakati?God is God and Alama za nyakati is alama za nyakati.We are not talking about alama za nyakati hereulishindwa hta kutofautisha harama na nyakati zinazopingana na mungu ambazo vitabu vingi vya dini vimeandika hayo
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.
Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.[/QUOTE
Alchemically ndio.Tatizo umekariri.Anyways kuhusu kukutumia uchawi nataka nifanye sasa hivi.But before I can do that let me ask u a very honest question that demand a very honest answer.
Baba ako mzazi bado yupo hai ?"
"Alchemically". That alone shows how quaint you are.
Naomba unitumie uchawi nisiweze kukujibu hapa.
Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uchawi upo.
Otherwise ukishindwa kufanya hivyo ndani ya 24 hours ukubali kwamba huwezi kuthibitisha uchawi upo.
Ili uweze kutenda muujiza wowote ule wa kiungu ni lazima ujue kuhusu Alchemical and Anatomical formulas za jambo ambalo unataka kulifanya.Point yako ya tano imelenga nini mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu, nimetoa hiyo kama changamto tu.Unajua maana ya mjenzi huru? Unafahamu hilo hekalu linalo jengwa ni kitu gani? Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi kuhusu kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zote maana ningesema Mimi najua watu wenye mahaba na dini zao wangetoa povu..Kwa kuongezea tu hapo ni kwamba wao wanasema " They blv in the light regardless of who bears it" Kama waislamu na wakristo wangeamini katika hilo basi ingekuwa poa sana
Sio kwelimkuu, nimetoa hiyo kama changamto tu.
Rudi kutafakari na kuufuatilia, utajua hizo bibilia na misaafu imewekwa na hao wafuasi wa Kaini na Henoko mwana wa kaini kwa matiki zipi. Haziko hapo kumuabudu Mungu wa kweli zaidi ya Lucifer wao wanamwamini kuwa alionewa na alifanyiwa njama na Yesu(Adonai) kutupwa huku duniani na hana kosa kabisa.(Unbiblical opinions)
Asubuhi njema.
Ushauri, Usiamini kila anayeshika kitabu kitakatifu ukadhani yuko upande wa Mungu anayeelezewa humo.
Una uthibitisho wa unacho kisema?Ndugu acha kudanganya watu, unanzaje kusema tungekua na hayo mafundisho ya freemason dunia ingekua sehemu salama ya kuishi ilhali wenye ufahamu tunaelewa machafuko mengi duniani hasa vita na magonjwa ya kibailojia yanaratibiwa na hizo jumuia za siri ikiwamo freemason na illuminati?
Karudie tena kufanya utafiti wako uchwara...
Mi sina ukweli wa hayo mambo ila sikubaliani na utafiti ulivyofanywa kwa kumuuliza mtu mmoja afu unakuja na majibu ya utafiti.Ukweli ni nini?