Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Wewe mtoa mada tupigie hesabu za pesa zilizopotezwa kwenye ufisadi wa CCM tangu tupate uhuru.
 
Somehow tunaweza kusema ni favour mfano makubaliano ya wananchi na ccm ya mwaka 2020 ilikuwa ni elimu bure kuanzia shule ya awali hadi kidato cha nne,ila katikati ya mkataba ccm kwa kuwapenda wananchi wake wanaongeza elimu bure hadi kidato cha sita
Kama hujui hujui tu!
CCM inatekeleza Makubaliano ya UN, na sio kwamba Tanzania ni nchi Pekee inayotoa elimu bila malipo. Na elimu hii Ina ufadhili kutoka UN na fedha zonatolwwa kwa awamu. Wadanganyeni wasiojua!
Zitto Kabwe alipoishtaki Tanzania kwa wakati wa utawala wa Jiwe kwa kuwanyima watoto waliopata ujauzito kurudi shuleni ambapo Jiwe alitamka hadharani kuwa hasomeshi wazazi, UN walitishia kuzuia huo mpunga, kumbukeni CCM walivyowaka kiasi Bulembo kutamka bungeni kuwa Zito anapaswa kuwawa. Soma hii hapa
View: https://youtu.be/0yGbUo2gcFo?si=faDLKaHMRUYT7Cfh tafuteni wajinga wengine huko. Nadeclare interest Masters degree nimefanya kwenye eneo la elimu Bure
 
Wanaomudu kupeleka watoto private schools ni % ngap ya watanzania yote?we kubali tu ccm inawajali watanzania na utapata baraka!!

Inamjali nani?. Tangu lini mkopo ukawa kujali. Tena Asilimia 18%
 
Chama cha mapinduzi kinakupenda ndugu yangu
Nakijua chama kuliko unavyokijua ewe kizazi Cha Facebook! Jibu hizo hoja zangu hapo na ukarejee katiba ya Jmt kwamba serikali inapata wapi madaraka yake
Ibara ya 8(1)(a) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inasema wazi kuwa:

“Mamlaka yote ya nchi yanatoka kwa wananchi na serikali itapata madaraka yake kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii.”

Kwakua CCM ya sasa imejaa wahuni na wajinga kama wewe, mmeamua kukiuka misingi ya demokrasia hadharani na mnachukua madaraka kwa kutumia mkono wa chuma na kumwaga damu za watu, Ndio maana hata majukumu na wajibu wa serikali mnazounda mnapna kama ni favour au upendeleo na hampaswi kufanya hivyo.hii ndo sababu unaandika huu utumboo.
Tukizungumzia kuwajibika Kwa kushindwa kutimiza wajibu wenu mnaamua kushika bunduki kama vichaa. Ni Kwa sababu madaraka yenu hayatokani na sisi!
 
UN mpaka ukupe pesa yake ujue imekuamini kuwa utaweza kuitumia kwa manufaa yaliyokusudiwa,kumbe chama cha mapinduzi kina aminika hadi na mashirika makubwa ya kimataifa!!
 
Wana East Africa wengine wanaposema Watanzania ni vilaza sana kuliko Wakazi wengine wa Ukanda huu muwe mnaelewa. Uzi wa huyu Kilaza unasadifu.
 
Ndugu ya
Haya maneno ni toka 1995 enzi za mrema yalikuwepo,wapinzani hawajawahi Acha kuwa na visingizio pindi wanaposhindwa nadhani wajipange kwenye sera wananchi wanaweza wakawaamini ila kwa sasa hawana sera zenye mashiko
 
UN mpaka ukupe pesa yake ujue imekuamini kuwa utaweza kuitumia kwa manufaa yaliyokusudiwa,kumbe chama cha mapinduzi kina aminika hadi na mashirika makubwa ya kimataifa!!
We mbona unazidi kuonesha ujinga wako! Fedha zikitolewa unadhani ni chama kinaenda kupiga kampeni huko?
Nimekuambia Tanzania ni mwanachama wa UN na hii la elimu ni swala la Makubaliano ya nchi zote wanachama wa Umoja wa mataifa.
Ni sharti ya nchi wanachama kusaini na kutekeleza mkataba huo hata ingekua ni chama Cha chauma!
Tumekubaliana kwamba elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu! Na Haki za binadamu sio hisani ni lazima!
Sasa mnapikenua meno na kusema ni Ccm inasomesha watoto wetu Bure mjue kwamba watu wote sio wajinga kama ninyi.
Akili zenu ni kama za huyu Moleli anayewambia wananchi Kodi zao hazitumiki kuleta maendeleo Ila fedha za Ccm!
 
Ndugu ya

Haya maneno ni toka 1995 enzi za mrema yalikuwepo,wapinzani hawajawahi Acha kuwa na visingizio pindi wanaposhindwa nadhani wajipange kwenye sera wananchi wanaweza wakawaamini ila kwa sasa hawana sera zenye mashiko
Mbona hujibu hoja unajibu mashairi, kama wewe Ndio think Tank ya chama si aibu kubwa sana
 
Hao ndio watetezi wa ccm waliobakia
Hili taifa lina watu wa hovyo sana, unategemea watu kama hawa waweze kuwa na hamasa kwa serikali ili changamoto zilizopo zishughulikiwe, wapo busy muda wote na ujinga tu.....

Kesho unamkuta naye anataka kuwa mbunge aende kusifia wakubwa bungeni badala ya kuaddress changamoto zilizopo kwenye jamii na taifa kwa ujumla.


Kuna watu wanatia hasira sana basi tu...
 
Mkuu ogopa nchi ambayo wajinga wakiwa wengi wanaweza kuchagua Rais wa nchi. Na Hawa Ndio akina Babu Tale na akina Molel! Ni wakati sasa watu wenye akili kuinuka ingawa wajinga hudhibiti hoja Kwa bunduki badala ya hoja na ndicho kinachoendelea sasa. Wanaijaza ardhi damu na Mikono Yao inashika damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…