- Thread starter
- #181
Nipo field ndugu yanguRudi Shule, sisiem bado haijakusomesha vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo field ndugu yanguRudi Shule, sisiem bado haijakusomesha vizuri
Toka 1995 hadi leo nyimbo ni hii hiiUshindi wa uporaji?
Kama hujui hujui tu!Somehow tunaweza kusema ni favour mfano makubaliano ya wananchi na ccm ya mwaka 2020 ilikuwa ni elimu bure kuanzia shule ya awali hadi kidato cha nne,ila katikati ya mkataba ccm kwa kuwapenda wananchi wake wanaongeza elimu bure hadi kidato cha sita
Wanaomudu kupeleka watoto private schools ni % ngap ya watanzania yote?we kubali tu ccm inawajali watanzania na utapata baraka!!
Toka 1995 hadi leo nyimbo ni hii hii
Ingia kwenye tovuti ya CAG nadhani ripoti zipo upitie mwenyeweWewe mtoa mada tupigie hesabu za pesa zilizopotezwa kwenye ufisadi wa CCM tangu tupate uhuru.
Hapana ndugu yangu sera za wapinzani hazitoshiNi kwa sababu nchi hii CCM kajimilikisha.
Nakijua chama kuliko unavyokijua ewe kizazi Cha Facebook! Jibu hizo hoja zangu hapo na ukarejee katiba ya Jmt kwamba serikali inapata wapi madaraka yakeChama cha mapinduzi kinakupenda ndugu yangu
“Mamlaka yote ya nchi yanatoka kwa wananchi na serikali itapata madaraka yake kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii.”
Hizo sera ambazo hamtaki zisemwe hata kidogo utajuaje zinatosha au hazitoshi!Hapana ndugu yangu sera za wapinzani hazitoshi
Kama hujui hujui tu!
CCM inatekeleza Makubaliano ya UN, na sio kwamba Tanzania ni nchi Pekee inayotoa elimu bila malipo. Na elimu hii Ina ufadhili kutoka UN na fedha zonatolwwa kwa awamu. Wadanganyeni wasiojua!
Zitto Kabwe alipoishtaki Tanzania kwa wakati wa utawala wa Jiwe kwa kuwanyima watoto waliopata ujauzito kurudi shuleni ambapo Jiwe alitamka hadharani kuwa hasomeshi wazazi, UN walitishia kuzuia huo mpunga, kumbukeni CCM walivyowaka kiasi Bulembo kutamka bungeni kuwa Zito anapaswa kuwawa. Soma hii hapa
View: https://youtu.be/0yGbUo2gcFo?si=faDLKaHMRUYT7Cfh tafuteni wajinga wengine huko. Nadeclare interest Masters degree nimefanya kwenye eneo la elimu Bure
Hao ndio watetezi wa ccm waliobakiaKwa akili hizi, kama taifa tuna safari ndefu sana.
Binafsi ungekuwa karibu ningekutandika vibao vingi sana.
Ndugu yaNakijua chama kuliko unavyokijua ewe kizazi Cha Facebook! Jibu hizo hoja zangu hapo na ukarejee katiba ya Jmt kwamba serikali inapata wapi madaraka yake
Ibara ya 8(1)(a) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inasema wazi kuwa:
Kwakua CCM ya sasa imejaa wahuni na wajinga kama wewe, mmeamua kukiuka misingi ya demokrasia hadharani na mnachukua madaraka kwa kutumia mkono wa chuma na kumwaga damu za watu, Ndio maana hata majukumu na wajibu wa serikali mnazounda mnapna kama ni favour au upendeleo na hampaswi kufanya hivyo.hii ndo sababu unaandika huu utumboo.
Tukizungumzia kuwajibika Kwa kushindwa kutimiza wajibu wenu mnaamua kushika bunduki kama vichaa. Ni Kwa sababu madaraka yenu hayatokani na sisi!
Haya maneno ni toka 1995 enzi za mrema yalikuwepo,wapinzani hawajawahi Acha kuwa na visingizio pindi wanaposhindwa nadhani wajipange kwenye sera wananchi wanaweza wakawaamini ila kwa sasa hawana sera zenye mashikoNakijua chama kuliko unavyokijua ewe kizazi Cha Facebook! Jibu hizo hoja zangu hapo na ukarejee katiba ya Jmt kwamba serikali inapata wapi madaraka yake
Ibara ya 8(1)(a) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inasema wazi kuwa:
Kwakua CCM ya sasa imejaa wahuni na wajinga kama wewe, mmeamua kukiuka misingi ya demokrasia hadharani na mnachukua madaraka kwa kutumia mkono wa chuma na kumwaga damu za watu, Ndio maana hata majukumu na wajibu wa serikali mnazounda mnapna kama ni favour au upendeleo na hampaswi kufanya hivyo.hii ndo sababu unaandika huu utumboo.
Tukizungumzia kuwajibika Kwa kushindwa kutimiza wajibu wenu mnaamua kushika bunduki kama vichaa. Ni Kwa sababu madaraka yenu hayatokani na sisi!
Sawa genius, ccm inakupendaWana East Africa wengine wanaposema Watanzania ni vilaza sana kuliko Wakazi wengine wa Ukanda huu muwe mnaelewa. Uzi wa huyu Kilaza unasadifu.
We mbona unazidi kuonesha ujinga wako! Fedha zikitolewa unadhani ni chama kinaenda kupiga kampeni huko?UN mpaka ukupe pesa yake ujue imekuamini kuwa utaweza kuitumia kwa manufaa yaliyokusudiwa,kumbe chama cha mapinduzi kina aminika hadi na mashirika makubwa ya kimataifa!!
Mbona hujibu hoja unajibu mashairi, kama wewe Ndio think Tank ya chama si aibu kubwa sanaNdugu ya
Haya maneno ni toka 1995 enzi za mrema yalikuwepo,wapinzani hawajawahi Acha kuwa na visingizio pindi wanaposhindwa nadhani wajipange kwenye sera wananchi wanaweza wakawaamini ila kwa sasa hawana sera zenye mashiko
Hili taifa lina watu wa hovyo sana, unategemea watu kama hawa waweze kuwa na hamasa kwa serikali ili changamoto zilizopo zishughulikiwe, wapo busy muda wote na ujinga tu.....Hao ndio watetezi wa ccm waliobakia
We kenge unaona mleta uzi ameongea point gani ya maana?Hii ni takataka Wasted sperm
Mkuu ogopa nchi ambayo wajinga wakiwa wengi wanaweza kuchagua Rais wa nchi. Na Hawa Ndio akina Babu Tale na akina Molel! Ni wakati sasa watu wenye akili kuinuka ingawa wajinga hudhibiti hoja Kwa bunduki badala ya hoja na ndicho kinachoendelea sasa. Wanaijaza ardhi damu na Mikono Yao inashika damuHili taifa lina watu wa hovyo sana, unategemea watu kama hawa waweze kuwa na hamasa kwa serikali ili changamoto zilizopo zishughulikiwe, wapo busy muda wote na ujinga tu.....
Kesho unamkuta naye anataka kuwa mbunge aende kusifia wakubwa bungeni badala ya kuaddress changamoto zilizopo kwenye jamii na taifa kwa ujumla.
Kuna watu wanatia hasira sana basi tu...