Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Wengi hawapati hiyo mikopo. Ni wachache wanapata kwa Asilimia mia. Ila ujue hiyo ndio kazi ya Serikali Sio hisani. Serikali ipo kuwatumikia wananchi na Sio wananchi kuitumikia.
Jukumu la kukusomesha wewe ni la wazazi wako,shukuru tu serikali ya ccm inajali wananchi wake
 
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.

2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.

3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.

4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.

5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Elimu bure ni agenda ya CHADEMA
2.Wanasoma Lakini hakuna ajira
3.Wazazi kuwa CCM Karne hii ni upuuzi
 
Elimu bure ni agenda ya CHADEMA
2.Wanasoma Lakini hakuna ajira
3.Wazazi kuwa CCM Karne hii ni upuuzi
Mbona chadema walimuazima lowasa?kama kwa jirani yako kuna jambo zuri siyo vibaya? Swala la ajira ni changamoto kweli ndo mana mama ana sera nzuri za.kuwavuta wawekezaji ili vijana wapate ajira
 
Watanzania wamekiamini chama cha mapinduzi na chama cha mapinduzi kimeamua kuwatumikia kwa uwaminifu mkubwa,kukidharau na kukitukana ni kujitafutia laana
Rejea kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani kwenye chaguzi za serikali za mitaa
Rejea kura zisizo za haki zilizotengenezwa na CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
Sasa rejea hii comment yako!
 
Kwamba CCM wanatoa favor? Mtoa mada huna akili
Somehow tunaweza kusema ni favour mfano makubaliano ya wananchi na ccm ya mwaka 2020 ilikuwa ni elimu bure kuanzia shule ya awali hadi kidato cha nne,ila katikati ya mkataba ccm kwa kuwapenda wananchi wake wanaongeza elimu bure hadi kidato cha sita
 
Kwanza ukizaliwa bongo land tayari unalaana ambayo automatically inakuandama maisha yako yote lasna haikwepeki kwa kuunga mkono juhudi 😏
 
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.

2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.

3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.

4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.

5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Wewe Ndio una Laana kuungana na CCM wenye Mikono yenye Damu za watu! Hii sio CCM aliyoiasisi Mwalimu Nyerere Wala aliyoiacha Jakaya Kikwete!

1. Kama unajua ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wanapata elimu kama Moja wapo ya majukumu yake usingeadika hoja hii. Unajua kwamba elimu sio hisani au huruma ya serikali ni wajibu wa serikali. Utoaji wa elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu katika zile Haki 30 Ilizopo katika BILL OF RIGHTS na zilikubaliwa katika UDHR mwaka 1948. Acha ujinga. Watu kushindwa kumudu gharama za elimu Bora kunatokana na serikali za Ccm kushindwa kujenga mazingira Bora ya kiuchumi Kwa wananchi kuweza kuzalisha na kumudu gharama za huduma za jamii kama afya, maji na elimu.

2. Hakuna elimu inayoitwa elimu Bure, Hilo ni garasa na ujinga mtupu. Inaitwa elimu Bure Kwa sababu kinachotolewa huko sio elimu ni uhushuriaji wa kinachoitwa madarasa au shule. Ndio mana hata viongozi hao ni wa Ccm wanaogopa kuwapeleka watoto wao kwenye hizo shule. Haziaminiki Kwa sababu ni free from knowledge. Wao Ccm (viongozi) wanawapeleka watoto wao kwenye shule zenye standards za kimataifa na wanawaandalia mazingira ya baada ya kumaliza elimu hizo. Kwa bahati mbaya Kwa sasa hata elimu ya juu haiminiki Ndio maana hata Ajira hawaajiriki. Jua pia kwamba huo ni mikopo unaotokana na Kodi za wananchi wote wakiwemo wazazi wa hao unawaosengenya.
3. Serikali Ina wajibu wa kuweka mazingira Bora ya kiuchumi, Ili watu waweze kufikia mitaji yenye riba nafuu na inayolipika Ili waweze kujikwamua na umaskini. Kwa bahati mbaya hakuna mazingira hayo isipokua Ccm imechota fedha serikalini na kujificha kwenye sera ya vijana na watu wenye ulemavu na wanawake kuwakopsha kwa kigezo Cha kuwa na kadi ya uvccm. Ubaguzi mtupu na kutengeneza matabaka kwenye jamii kwa kulazimisha itikadi. Mjinga wewe
5. Utawala wa Ccm umekaa impunity na ujinga kama wewe. Ukweli kwenu siku hizi Tafsiri yake ni matusi na kejeli. Kama mnaamini katika utawala wa Sheria na Haki, wakamateni hao wanaoshinda hiyo nchi inayoitwa mitandaoni muwashtaki kwa mujibu wa Sheria na wapate Haki Yao.
 
Hata mkoloni alikupenda na kukujali, alikupa chakula, vikombe, nguo, malazi nk Bado ukamfukuza, hiyo laana unapaswa kutubu!
Inawezekana lakini upendo wao haufiki hata kwa asilimia 0.1 jinsi ccm inavyoipenda tanzania
 
Kwanza ukizaliwa bongo land tayari unalaana ambayo automatically inakuandama maisha yako yote lasna haikwepeki kwa kuunga mkono juhudi 😏
Labda ukizaliwa bongo halafu usiwe ccm inaweza ikawa kweli
 
Jukumu la kukusomesha wewe ni la wazazi wako,shukuru tu serikali ya ccm inajali wananchi wake

Mzazi gani kagoma kusomesha watoto wake. Wazazi wangapi wanasomesha watoto wao shule za primary na sekondari zenue gharama kuliko chuo kikuu kwa mwaka.
 
Wewe Ndio una Laana kuungana na CCM wenye Mikono yenye Damu za watu! Hii sio CCM aliyoiasisi Mwalimu Nyerere Wala aliyoiacha Jakaya Kikwete!

1. Kama unajua ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wanapata elimu kama Moja wapo ya majukumu yake usingeadika hoja hii. Unajua kwamba elimu sio hisani au huruma ya serikali ni wajibu wa serikali. Utoaji wa elimu ni Moja wapo ya Haki za binadamu katika zile Haki 30 Ilizopo katika BILL OF RIGHTS na zilikubaliwa katika UDHR mwaka 1948. Acha ujinga. Watu kushindwa kumudu gharama za elimu Bora kunatokana na serikali za Ccm kushindwa kujenga mazingira Bora ya kiuchumi Kwa wananchi kuweza kuzalisha na kumudu gharama za huduma za jamii kama afya, maji na elimu.

2. Hakuna elimu inayoitwa elimu Bure, Hilo ni garasa na ujinga mtupu. Inaitwa elimu Bure Kwa sababu kinachotolewa huko sio elimu ni uhushuriaji wa kinachoitwa madarasa au shule. Ndio mana hata viongozi hao ni wa Ccm wanaogopa kuwapeleka watoto wao kwenye hizo shule. Haziaminiki Kwa sababu ni free from knowledge. Wao Ccm (viongozi) wanawapeleka watoto wao kwenye shule zenye standards za kimataifa na wanawaandalia mazingira ya baada ya kumaliza elimu hizo. Kwa bahati mbaya Kwa sasa hata elimu ya juu haiminiki Ndio maana hata Ajira hawaajiriki. Jua pia kwamba huo ni mikopo unaotokana na Kodi za wananchi wote wakiwemo wazazi wa hao unawaosengenya.
3. Serikali Ina wajibu wa kuweka mazingira Bora ya kiuchumi, Ili watu waweze kufikia mitaji yenye riba nafuu na inayolipika Ili waweze kujikwamua na umaskini. Kwa bahati mbaya hakuna mazingira hayo isipokua Ccm imechota fedha serikalini na kujificha kwenye sera ya vijana na watu wenye ulemavu na wanawake kuwakopsha kwa kigezo Cha kuwa na kadi ya uvccm. Ubaguzi mtupu na kutengeneza matabaka kwenye jamii kwa kulazimisha itikadi. Mjinga wewe
5. Utawala wa Ccm umekaa impunity na ujinga kama wewe. Ukweli kwenu siku hizi Tafsiri yake ni matusi na kejeli. Kama mnaamini katika utawala wa Sheria na Haki, wakamateni hao wanaoshinda hiyo nchi inayoitwa mitandaoni muwashtaki kwa mujibu wa Sheria na wapate Haki Yao.
Chama cha mapinduzi kinakupenda ndugu yangu
 
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu wasiokuwa na shukrani.

2. Kundi la watu wote ambao wamekuta babu zao,wazazi wao wakiwa na itikadi ya chama cha mapinduzi wakalelewa katika maadili mema ya chama cha mapinduzi ,walivyokuwa wakakengeuka na kuanza kuleta itikadi ngeni kwenye ukoo,kundi hili nalionea huruma sana,hakuna laana mbaya kama laana ya kutowatii wazazi,hamjachelewa tubuni.

3. Kundi la wazazi ambao watoto wao wanasoma bure katika shule za serikali hawalipii chochote zaidi ya madaftari ,viatu,na hela ya mtoto ya kula miogo na bado wanapata kiburi cha kukitukana chama cha mapinduzi,nawaambia hawa watoto ni malaika na chama cha mapinduzi kimeamua kuwekeza kwa malaika,uwekezaji huu kwa malaika hautawaacha salama wazazi hawa wasiokuwa na shukrani,tubuni.

4.Kundi la wajasiriamali waliokopeshwa mikopo isiyo na riba na serikali ya chama cha mapinduzi halafu kila kukicha wanashinda mitandaoni kukitukana na chama cha mapinduzi hakika Mungu ataiona sadaka ya chama cha mapinduzi na hatonyamaza,muda bado mnao tubuni kabla laana ijawapata.

5. Kundi la watu ambao mnashinda mitandaoni,kumtukana na kumkashifu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambae pia ni kiongozi wenu tena mnamtukana kwa mambo ambayo hamna huakika wa uthibitisho,nyie pia hamjachelewa tubuni,kumtukana kiongozi aliyewekwa na Mungu ni kumdharau Mungu.
KATAA LAANA
Rudi Shule, sisiem bado haijakusomesha vizuri
 
Mzazi gani kagoma kusomesha watoto wake. Wazazi wangapi wanasomesha watoto wao shule za primary na sekondari zenue gharama kuliko chuo kikuu kwa mwaka.
Wanaomudu kupeleka watoto private schools ni % ngap ya watanzania yote?we kubali tu ccm inawajali watanzania na utapata baraka!!
 
Back
Top Bottom