Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

Ni Karogwa na siyo Kalogwa sawa? Haya rekebisha upesi hapo tafadhali ili Usitikwaze zaidi wenye Kiswahili chetu pendwa.
Unamkosoa mtu kwakujifanya unajua kumbe wewe ndo hujui.Hiyo kurogwa niyakwenu uko wenye maulimi mazito na magumu.
 
Back
Top Bottom