Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Naam,

Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.

Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.

Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza

Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.

4B6013AB-DC51-4BF3-ACA0-E70E75283B44.jpeg

Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.

DF73059C-0A32-4108-BFF7-EE25F5063702.jpeg

Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.

Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.

Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.

FC953B55-B8A5-4B4F-9CCB-C889B6501110.jpeg
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.

Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.

Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.

033E547B-0D59-4C4B-9952-DCEEFFF78483.jpeg

Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"

LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.

EE24C5EF-8C18-4BF0-9BB0-7D071CD11AFA.jpeg
 
Ndugu,

Mimi naweza kusema Ni heri wakristo wanaowavalisha suti marehemu maana sioni kosa lolote kiimani.

Sisi weusi tumemeza vitu vingi bila logic kwa kigezo Cha dini imesema hivi.
Dini ni nini!?..mbona Kuna mgongano kwenye argument yako
 
Naam
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.

Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.

Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza

Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.

4B6013AB-DC51-4BF3-ACA0-E70E75283B44.jpeg

Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.

DF73059C-0A32-4108-BFF7-EE25F5063702.jpeg

Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.

Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio

Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa

FC953B55-B8A5-4B4F-9CCB-C889B6501110.jpeg

Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.

Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.

Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika , kwa kutumia kitambaa hiki.

033E547B-0D59-4C4B-9952-DCEEFFF78483.jpeg

Bw.WALTER McCRONE

"If the cloth were genuine, the face
and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"

LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.

EE24C5EF-8C18-4BF0-9BB0-7D071CD11AFA.jpeg
Mtume Muhammad hakuwahi kupanda ndege wala gari, mtuambie nyie waislamu mnapanda ndege kwa utamaduni/haya ipi..
 
Hakuagiza na wengine wavishwe sanda tu, biblia ni pana ina maonyo,ina historia, ina maagizo,amri tourat n.k sio kila kilichoandikwa kwenye biblia au kilichofanywa na mitume na manabii tunatakiwa kukifanya.

Mfan yesu hakuoa je wakristo wasioe? Bikira maria alipata mimba kwa uweza wa Roho mt, je na sisi tusubiri hilo?
Kaini alimuoa dada yake je nasisi tufanye hayo?

AU UMEANDIKA TU ILI KUPOOZA SWAUMU?
 
K
u alisafiri kwa punda, KWENYE V8, IST, TREKTA au POWER TILA tunafuata nini?
Kuoa na usafiri vinafanana vipi!?
 
Back
Top Bottom