Ukiweka msisitizo katika mambo ya utamaduni mila na desturi za wakati huo yafanyike leo utakosea.
Ukimaliza suala la sanda utadai wakazikwe kwenye mapango kama Yesu alivyo zikwa kisha wakavingirisha jiwe kubwa kuziba mlango wa pango (kaburi ).
kisha utadai wakristo wakazalie kwenye mazizi ya kondoo kama Yesu alivyo zaliwa.
Unafikiri kipindi hicho kulikuwa na charahani za kushonea suti wanazo zikiwa wakristo leo?
Nyie endeleeni tu kufuata na kuiishi ustaarabu mila na desturi za waarabu wala si dhambi na tena kwenye upande wa mazishi dini yenu imeagiza iwe vile. Wapo wakristo wengi tu huzikwa na sanda, nayo siyo kosa.
Mbona sasa nyie mnabeba maiti kwenye magari wakati mnaelekea mazikoni, kwani mtume alibebwa kwenye magari kama ya sasa?