Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
Mwanangu kweli hupendi NDOANAKAZIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu kweli hupendi NDOANAKAZIA
sababu sipendi UTAPELIMwanangu kweli hupendi NDOA
KwannUkishakufa hata uzikwe uchi hakuna jipya
Pia alizikwa kwenye pango lililochongwa kama kaburi itabidi pia tuache kuzikana kwenye udongo au sioNaam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.
Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza
Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.
![]()
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.
![]()
Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.
Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.
Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.![]()
Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.
Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.
![]()
Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"
LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.
![]()
Naam,

kwa hiyo unataka kusema alikuwa muislam?Yesu hakuwa mkristo...hapakuwrpo na ukristo.
Umemjibu vema maana sijui kama hata yeye anava kanzu kama Ile ya Yesu iliyopigiwa kura na maaskari waliomsulubisha. Sanda na manukato ilikuwa DESTURI YA WAYAHUDI kwenye kuzika marehemu. Kama unataka basi fuata na DESTURI zao zote ikiwamo kutawadha na zile Sheria zingine zaidi ya 600 walizoziongeza kwenye zile amri kumi. Sisi ni Wakristo siyo Wayahudi. Mambo Yao waachie wenyewe.Anyway suti ni sanda ya kisasa, siku nyingine uwe na maswali yenye kichwa hadi miguu
Huna facts kama ndo hvo kwann mtu akifa kwann msimvishe kijora Sndo habari yamjini kwann mnaiga wazungu kuvaa sutiYesu alisafiri kwa punda, KWENYE V8, IST, TREKTA au POWER TILA tunafuata nini?
We nae ni walewale benderaUmemjibu vema maana sijui kama hata yeye anava kanzu kama Ile ya Yesu iliyopigiwa kura na maaskari waliomsulubisha. Sanda na manukato ilikuwa DESTURI YA WAYAHUDI kwenye kuzika marehemu. Kama unataka basi fuata na DESTURI zao zote ikiwamo kutawadha na zile Sheria zingine zaidi ya 600 walizoziongeza kwenye zile amri kumi. Sisi ni Wakristo siyo Wayahudi. Mambo Yao waachie wenyewe.
Sasa hv kuna vijora kwa wanawake na pensi kwann msiende na wakat piaZamani hakukuwa na suti... kwahiyo kama zingalikuwepo tungalimvalisha tukamzika nazo
Kajifunze vema theology/tauhidi na secular history halafu urudi hapa. Vinginevyo utanipotezea muda wangu bureWe nae ni walewale bendera
Ndoa utumwasababu sipendi UTAPELI
We theology umejifunza choose gani? Au mtandaoniKajifunze vema theology/tauhidi na secular history halafu urudi hapa. Vinginevyo utanipotezea muda wangu bure
We theology umejifunza chuo ganKajifunze vema theology/tauhidi na secular history halafu urudi hapa. Vinginevyo utanipotezea muda wangu bure
Swali lako Wala halina mashiko maana hujui tofauti kati ya knowledge na certificate. Mtume Petro alijifunza wapi theology mpaka Leo maprofesa wanatilofautiana kwenye kuandika exegesis za nyaraka zake??We theology umejifunza choose gani? Au mtandaoni