Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Kiukweli nasadiki kopi yake niliiyona hija Pugu kiukweli Yesu Kristu ni hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wanaoongoza kufukunyuliwa hapa bongo asilimia kubwa ni wa dini yakoIla imani yenu inafuata maelekezo ya papa na wazungu a.k.a upinde
Naam ni mtume.Petro nae mtume kumbe?
Hata uchomwe,no body caresUkishakufa hata uzikwe uchi hakuna jipya
Ndo umeaminishwa hivyo madrasa?Yesu alikuwa Kristo!Yesu hakuwa mkristo...hapakuwrpo na ukristo.
Jibu zuri,ukisema tufuate Kila kilichokuwa kinafanyika enzi hizo tukileta Leo Kuna watu wataonekana vichaaAnyway suti ni sanda ya kisasa, siku nyingine uwe na maswali yenye kichwa hadi miguu
Bro, unateseka hadi na maiti?Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.
Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza
Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.
![]()
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.
![]()
Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.
Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.
Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.![]()
Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.
Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.
![]()
Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"
LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.
![]()
Yesu hakuwa na mambo mengi,kristo hakuwa na shida,ila ukristo ndo shidaYesu hakuwa mkristo...hapakuwrpo na ukristo.
Yesu hakuoa pia, hili suala la kuoa linatoka wapi???[emoji16][emoji16][emoji16]
haaaaaahaaaa yaani mungu anakufa? mungu yesu anavishwa sanda sasa nani anaetupa sisi mvua na matunda ikiwa mungu kafa
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kila kitu kuiga.
Yesu alishuka kutoka mlimani na kuanza kutembea juu ya maji akielekea kwenye mashua. Mitume walipomwona mtu akitembea juu ya maji, waliogopa sana.
Yesu alitembea juu ya bahari, wewe kwenye meli una fata nini?
Naona unajichanganya mwenyewe kwenye hoja yako.Unashindwa kutofautisha teknolojia na utamaduni na mafundisho ya dini, swali je wote wa kipnd cha yesu walizikwa mapongoni? Jbu ni hapana! Na je wote walivikwa sanda? Jibu ni ndio! Kwann walivikwa sanda? Je walikua hawana nguo nzuri? Jibu hapana! Sababu ni nini mpaka hawakuvikwa sanda ni maagizo ya dini, teknolojia au utamaduni? Jbu unalo mwenyew
Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.
Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza
Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.
![]()
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.
![]()
Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.
Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.
Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.![]()
Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.
Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.
![]()
Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"
LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.
![]()
unamjua Mariam Mhadalena a.k.a Amber Luty?Ina maana hakuwai hata kugonga
Yesu hakupanda gari..hili swala la kupanda magari linatoka wapii??Yesu hakuoa pia, hili suala la kuoa linatoka wapi???[emoji16][emoji16][emoji16]