Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Hayo ni maneno ya Shetani.
1:1 MATHAYO. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
Lete andiko ktk bibilia kuanzia mwanzo hadi ufunuo lisemalo yesu ni mwana wa Mungu.
QUR-AN 43:68-70.
68. Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.
69. Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.
70. Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo.
Lete andiko ktk bibilia utuambie Mkrist akifa anaenda wapi?