Huyo anakua si ridhiki.Mi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu
Huo msemo wa shilawadu niliona mara ya kwanza walivokuwa wanafatilia msiba wa mtoto patrick,sasa Kwisa akawa anataka kumohoji mama wema so kila akimuuliza swali mama wema kauchuna ndio kwisa akasema "Da naona mama kala mikausho kama yote" ila sijautilia maanani baada ya siku mbili nipo nasubiri daladala niingie zangu "Downtown Arusha" mara nikamsikia konda anatangaza uelekeo wa gari kisha anasema "Siti za kuwaga yaani kama zote" ndio nikajua kamsemo kapo kwenye trend.
Kichefu chefu kama choteMi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu