Kama yote

Kama yote

BTW kuna kitu kinaitwa misimu,mtoa mada katafute maana ya musimu utaelewa kwanini kama huvuma kisha hupotea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wa dar wana misemo ya ajabu sana yaani..
Ndo maana humu wadau wanatema nyongo kama zote hivi..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huo msemo wa shilawadu niliona mara ya kwanza walivokuwa wanafatilia msiba wa mtoto patrick,sasa Kwisa akawa anataka kumohoji mama wema so kila akimuuliza swali mama wema kauchuna ndio kwisa akasema "Da naona mama kala mikausho kama yote" ila sijautilia maanani baada ya siku mbili nipo nasubiri daladala niingie zangu "Downtown Arusha" mara nikamsikia konda anatangaza uelekeo wa gari kisha anasema "Siti za kumwaga yaani kama zote" ndio nikajua kamsemo kapo kwenye trend na ndio nikaja kumsikia rafiki yangu wa karibu ananiambia niende kwenye sherehe akaniambia njoo king kwenye sherehe mambo yako ya mma(vinywaji} kama vyote.
Kumbe hadi mikoani kama yote, [emoji28] [emoji28]
 
Jamaa anatembea mwendo "kama wote" acheni lugha ipate misamiati mipya masuala ya kupangiana misamiati ni wendawazimu... Kilatini kilikufa kwasababu "kama zote" [emoji23][emoji23][emoji23] hizo
Hakuna msamiati mpya hapo. Ni maneno tu ya kawaida kama yote
 
Back
Top Bottom