Kama yote

Kama yote

Huu msemo chanzo chake ni watoto wale hawajui kuongea...mi nishawaskia watoto miaka mingi,,anaweza sema mama nimekunywa uji km wote,,hapo anamaanisha kamaliza umsifie. Naona ndo siku hizi MTU mmoja akamuiga mtoto akaongea kwenye TV,watu wakalipokea. Ila mi napenda😂😂
 
Ni upumbavu unaoanzishwa na kile kituo pendwa cha vijana,kiukweli hua napatwa na ukakasi juu ya usalama wa marinda ya baadhi yai watangazaji wao...
Kweli kabisa mkuu yaani ni upumbavu kama wote[emoji23] [emoji23]
 
Asee mambo vipi wadau.

Kuna haka kamsemo kitu fulani kama yote.....au kama zote........kama lote. Wanamaanisha nini hawa watoto wa Dar es Salaam?
Si afadhali ya maneno hayo kuna neno eti "naniliu" silipendi kabisa hasa linapoyamka na jitu kubwa zima ... NANILIU...
 
Mtoa mada naona umeyatindikaganya..... Watoa comments wameamua kudamshi kama wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom