Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa uelewavyo tuAsee mambo vipi wadau.
Kuna haka kamsemo kitu fulani kama yote.....au kama zote........kama lote. Wanamaanisha nini hawa watoto wa Dar es Salaam?
Kudamshi kama koteHiyo misemo ya machoko afu kuna mwingine sipendi kabisa hata kuusikia, kudamshi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama vyoteeHizi comments za humu zinafurahisha kama zote
kama 2016 ulikuwa skuli kumbe fundi bishoo bado kachalii kama chote yani 😂😂😂huo msemo tulikuwa tunautumia 2016 skuli nashangaa mwaka huu unatajwa sana kwenye tv
Ni mwaka mmoja umepita tangu lissu apigwe risasi kama zote.Mkuu umemaliza, comment kama zote.
Kumbe hadi mikoani kama yote, [emoji28] [emoji28]Huo msemo wa shilawadu niliona mara ya kwanza walivokuwa wanafatilia msiba wa mtoto patrick,sasa Kwisa akawa anataka kumohoji mama wema so kila akimuuliza swali mama wema kauchuna ndio kwisa akasema "Da naona mama kala mikausho kama yote" ila sijautilia maanani baada ya siku mbili nipo nasubiri daladala niingie zangu "Downtown Arusha" mara nikamsikia konda anatangaza uelekeo wa gari kisha anasema "Siti za kumwaga yaani kama zote" ndio nikajua kamsemo kapo kwenye trend na ndio nikaja kumsikia rafiki yangu wa karibu ananiambia niende kwenye sherehe akaniambia njoo king kwenye sherehe mambo yako ya mma(vinywaji} kama vyote.
Hakuna msamiati mpya hapo. Ni maneno tu ya kawaida kama yoteJamaa anatembea mwendo "kama wote" acheni lugha ipate misamiati mipya masuala ya kupangiana misamiati ni wendawazimu... Kilatini kilikufa kwasababu "kama zote" [emoji23][emoji23][emoji23] hizo
Sana tu hadi huku mikoani tunaDamshi kama kote.Kumbe hadi mikoani kama yote, [emoji28] [emoji28]
Kichefuchefu kama chote [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu
Tapika matapishi kama yote mkuuMi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu