Kama yote

Kama yote

Huo ni USHAMBA,,BINAFSI sijawahi tumia maneno ya kipuuzi..
 
Huo msemo wa shilawadu niliona mara ya kwanza walivokuwa wanafatilia msiba wa mtoto patrick,sasa Kwisa akawa anataka kumuhoji mama wema so kila akimuuliza swali mama wema kauchuna ndio kwisa akasema "Da naona mama kala mikausho kama yote" ila sijautilia maanani baada ya siku mbili nipo nasubiri daladala niingie zangu "Downtown Arusha" mara nikamsikia konda anatangaza uelekeo wa gari kisha anasema "Siti za kumwaga yaani kama zote" ndio nikajua kamsemo kapo kwenye trend na ndio nikaja kumsikia rafiki yangu wa karibu ananiambia niende kwenye sherehe akaniambia njoo king kwenye sherehe mambo yako ya mma(vinywaji} kama vyote.
 
Mkuu umemaliza, comment kama zote.
Huo msemo wa shilawadu niliona mara ya kwanza walivokuwa wanafatilia msiba wa mtoto patrick,sasa Kwisa akawa anataka kumohoji mama wema so kila akimuuliza swali mama wema kauchuna ndio kwisa akasema "Da naona mama kala mikausho kama yote" ila sijautilia maanani baada ya siku mbili nipo nasubiri daladala niingie zangu "Downtown Arusha" mara nikamsikia konda anatangaza uelekeo wa gari kisha anasema "Siti za kuwaga yaani kama zote" ndio nikajua kamsemo kapo kwenye trend.
 
Ushamba ni wewe kuona msemo au kitu fulani ni cha kishamba kwasababu wewe binafsi hukipendi. Huo msemo hata mimi nishauliza maana sielewi hio yote,zote kwenye sentensi inaleta maana gani ila siwezi kuwadharau wanaotumia.
 
Back
Top Bottom