Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:

IMG_20241107_063900~2.jpg

Kwamba hakusikiliza:

IMG_20241107_064040.jpg

Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:

IMG_20241107_064134.jpg

"Mwenye nchi, mwananchi!"
 
Kwamba wanafikiri US itaachq support israel?
anae support si rais bali ni serikali watakuwa suprised

Kwani hayo unayasoma wapi?

Kumbuka huyu akiwa mpigiwa kura wao kindaki ndaki wa siku zote bila aibu aliahidi "unconditional support for Israel."

Ya kwamba hata awatie vidole ...:

"machoni."

In short hata mwenda wazimu hawezi kusema hivyo!
 
Kwamba wanafikiri US itaachq support israel?
anae support si rais bali ni serikali watakuwa suprised
Tena watakuwa surprised haswa.... Trump hana cha kupoteza ana term moja tu ya urais na hata gombea tena. NI HUYU HUYU ALIWAHI KUZITAJA NCHI ZA KIARABU AMBAZO RAIA WAKE NI MARUFUKU KUINGIA MAREKANI. Amedanganya atasimamisha vita ni uongo kama alivyodanganya kipindi kile kuwa atajenga ukuta mpaka wa Mexico na Marekani kwa garama za Mexico....ni huyu huyu alihamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel viv kwenda Jerusalem
 
Mkûu sera za Marekani Kwa Israel zîpo bayana.
Íwe Trump au Kamala wôte Lao Moja.

Marekani haiwezi kuwa upande wa Waarabu dhidi ya Wayahudi Maisha.

Hata huyo Mrusi anachofanya ni geopolitical games lakini urusi hawezi kuwa upande wa Waarabu au jamii za middle east dhidi ya Wayahudi.
Kinachofanyika ni biashara

Waarabu wataendelea kutaabika Sana Marekani ingalipo.
Kupona Kwa waarabu ni aidha kuungana na matakwa Yao au kuanguka Kwa Dola la Marekani Basi.

Hamas, Hezbollah na Kaka Yao Iran round hii huenda wakapata shida zaidi kuliko Wakati wowote
 
Heri mwongo kuliko huyu:

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Zaidi sana kumtia adabu!

Wewe na wayahudi wa wapi hamlioni hilo ndugu yangu?

Moisemusajiografii, MK254, Mzee Kigogo na wengine Chole kule, kumbe kipi kipya?

Kamala kapigwa chini ikawe funzo hadi kwa mtaka kura yeyote!
 
Mkûu sera za Marekani Kwa Israel zîpo bayana.
Íwe Trump au Kamala wôte Lao Moja.

Marekani haiwezi kuwa upande wa Waarabu dhidi ya Wayahudi Maisha.

Hata huyo Mrusi anachofanya ni geopolitical games lakini urusi hawezi kuwa upande wa Waarabu au jamii za middle east dhidi ya Wayahudi.
Kinachofanyika ni biashara

Waarabu wataendelea kutaabika Sana Marekani ingalipo.
Kupona Kwa waarabu ni aidha kuungana na matakwa Yao au kuanguka Kwa Dola la Marekani Basi.

Hamas, Hezbollah na Kaka Yao Iran round hii huenda wakapata shida zaidi kuliko Wakati wowote

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Tatizo ni kuwa inawawia vigumu kuona kwanini sherehe hata kama Trump ni mbaya zaidi.

Zingatia hapa whatever the consequences huyu kwa hili kapigwa chini akwendree.

Taabu iko wapi hapo ndugu?
 
Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:

View attachment 3145748

Kwamba hakusikiliza:

View attachment 3145737

Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:

View attachment 3145739

"Mwenye nchi, mwananchi!"

Mbona Michigan kwenyewe Trump kamzidi kura kwa 0.5% tu? Labda kwa nchi nzima sio kama maelezo yanavyosema!

Naamini wamarekani wamekataa tu kuwa na amirijeshi mkuu mwanamke tu mengine yote Trump alizidiwa sana hoja na huyo mama, then transition kutoka kwa Biden kwenda kwa huyu mama ilikuwa late sana kuweza kujenga imani ya wamarekani kwa Kamala.

Mawazo yangu tu kwa kutazama numbers za kura
 
Trump ni hatari kwa ustawi wa Arab nations.Haina ubishi.Kuna jamii itamuonmzee Chamtemhpavituakuni live!
Trump ni mshenzi lakini ni bora Trump wanawake ni wanapelekwa tu, huyo tutaishi naye kiubaya ubwela sisi tuna muongozo wa Quran na tunaweza sana kwa Subra na Ibada Vitimbi vyake tunaishi naye bila shida kabisa siku zote kiongozi ni mwanaume mwenzako mambo yanajadilika
 
Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Tatizo ni kuwa inawawia vigumu kuona kwanini sherehe hata kama Trump ni mbaya zaidi.

Zingatia hapa whatever the consequences huyu kwa hili kapigwa chini akwendree.

Taabu iko wapi hapo ndugu?

Kamala asingeweza kumshinda Trump hata kusingekuwa na vita Huko Gaza.

Hillary aliposhindwa kulikuwa na vita Huko Gaza?
 
Heri mwongo kuliko huyu:

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Zaidi sana kumtia adabu!

Wewe na wayahudi wa wapi hamlioni hilo ndugu yangu?

Moisemusajiografii, MK254, Mzee Kigogo na wengine chole k ule, kumbe kipi kipya?

Kamala kapigwa chini ikawe funzo hadi kwa mtaka kura yeyote!
Watavuna walichokipanda American Arab....hata wew unajua hilo. Nina declare interest mm ni mfuasi wa Trump. Na kwa taarifa tu mkwilima( mkwe) wa Trump ni myahudi. Tusubili kama Trump atawasaidia Wapalestina wanaotetewa na Hezbollah na Houthi.
 
Back
Top Bottom