Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

nani kasema israel ni kikundi? Halafu unaposema marekani anaweza kushirikiana na yoyote that means kuna siku marekani anaweza kushirikiana na hamas,hizbullah,al shabab,islamic state n.k si ndio? Umeandika marekani hawezi kushirikiana na waarabu je saudi arabia ni wachina?

Yeyote lakini siô dhidi Yake.
Israel ni sehemu ya Marekani Hapo middle East
 
yes but not for the millitants groups like islamic state,al shabab,hizbullah,hamas and so on.
Sasa alshabaab ni ya nani!?.. unajua alshabaab ilivyoibuka?..somali palikua na umoja wa mahakama za kiislam (union of islamic courts),walianza pigana vita 2000 mwanzoni,kufika 2000 katikati wakawa wameichukua nchi nzima, marekani na wenzie wakaenda kuwapiga na kuibuka alshabaab,ambao sasa wamefika kenya, tanzania, msumbiji ambako kote kuna mafuta na gas,isis ndiyo waliopigana na gaddafi na assad,na walipougua walitibiwa israel
 
Kama hawakupiga kura maana yake hawakumtia adabu basi, imetokea by chance bila wao kufanya effort yeyote anyway! Kumtia aibu mtu ni kufanya kitendo actively cha kumfanya aone umetenda na umeinfluence matokeo!
Kama kupiga kura kungempa ushindi kamala,kutopiga ni kumhujumu,ni simple thing to understand
 
Kama kupiga kura kungempa ushindi kamala,kutopiga ni kumhujumu,ni simple thing to understand

How do you know usipopiga kura wengine hawatapiga? What are the chances? Anyway ni imani tu na mimi naheshimu imani za watu wakati najiuliza maswali
 
Waarabu waliweka hilo bayana, wengine wakitaka mpigia trump
Ukisema walimpiga Trump nakuelewa japo wanapishana 0.5% tu so inaleta shaka pia km significance yake ni influence au ni normal distribution curve tu. Kungekua na tofauti kubwa tungesema Yes bila shaka. Anyway ni mtazamo tu
 
Una hamu ya kubishana au!?
 
Subiri ifike January akiingia madarakani utajua kwanini Iran walitamani afe kabla ya uchaguzi.

January? Penye haki tumejiandaa kusubiri hadi mwisho wa dunia!
 
Una hamu ya kubishana au!?

Kwa nini nibishane? Au ulitaka nimeze tu ulichoandika? I own my thinking you take it or leave it, I am critical sinaga kukariri, unachosema najifunza na kuhoji ukweli! Anyway haya sio mambo ya kiroho mnayoambiwa meza tu ukiuliza umekufuru! Ahsante lkn nishamaliza
 
We do have permanent interests not friends,sera ya marekani

Pana washirika uchwara wa pande za kwetu wakiielewa dhana hii chaguzi zote 2024/25 zilikuwa zao.

Lakini sasa mbuzi vipi kuielewa solo yake Kimoko?
 
Nyinyi msijifanye ndiyo mna ufahamu sana wa siasa za marekani.
Jimbo ambalo limekuwa islamized ni Michigan. Waislam wake wakapigia Green party. Hivyo mwisho ikawa Republican 45, Green 33 na Democrat 15. Lakini kutokana na Trump kuwa amechukua Georgia, North Carolina, Pennsylvania na Wisconsin hata kama Waislamu wenu wa Michigan wagempigia Kamala bado asingeshinda. Trump aliishafikia the magic number 270 zamani.
Kushindwa kwa Kamala kunatokana na sababu mbili muhimu
1. Inflation ilikuwa kubwa; utawala wa Biden ulishindwa kudhibiti hilo
2. Immigration isiyo dhibitiwa. Na hapo hasira ya Wamarekani imeongezeka hasa baada ya vurugu zenu Waislamu

Anayejifanya kuzijua siasa za marekani si wewe uliyekwenda hadi kujifanya kudadavua numbers, sababu uchwara na majimbo ndani?

Umetambua hakuna tulichoandika sisi zaidi ya:

1. Kuonyesha wapinga vita marekani walimpa miadi Kamala ya kumtia adabu kama hatabadilika mapema ya kutosha.

2. Kwamba hatimaye alikwenda kuwaangukia akiwa kachelewa mno nao wakakaza:

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

3. Baada ya kumtia adabu wamekwenda mbele kumkumbusha miadi yao kwa kuangusha party.

Hapo kipi kipya tumeandika sisi kuhusu siasa za marekani ndugu?

Kukurejea binafsi, unaonekana una makasiriko sana baada ya Kamala kutiwa adabu vilivyo.

"Kama Kamala angeshindwa tu kwa hizi sababu uchwara zako ulizoorodhesha, kumbe:"

1. Kwa nini alikuwa anagombea au kufanya kampeni?

2. Vipi Marais wote hai democrats kasoro Carter wa miaka 100+ kuambatana naye kumnadi na kumpigia kampeni vilivyo?

3. Vipi vigogo wakiwamo republicans kama kina Dick Cheney na wengi wengine kum endorse Kamala?

4. Kulikuwa na haja gani ya kumwondoa Biden ulingoni na kuingia huyu waliyemwona Messi?

5. Vipi kwenda kuwaangukia wapinga vita waangusha party hawa?

6. Vipi Marais wote hai republicans kumsusa Trump majukwaani naye kupiga kampeni kama yatima?

7. Nk.

Ujuaji wenu uchwara huu siyo mngeuelekeza Narung'ombe ndani ndani huko? Siyo kuwa huku kwenye utandawazi ambako dunia ni kijiji mtaishia kuumbuka tu ndugu?

Zaidi sana nikufahamishe hauko na data zozote kuwahusu wapinga vita hawa ambamo humo wamo Arab Americans na sympathizers wao.

Kwamba wewe una makasiriko nao kivyako vyako unadhani ndiyo kila mtu?

Jasmoni Tegga nisiwashau wale wasayuni wengine (MK254, Moisemusajiografii, Mzee Kigogo mnawakilisha, habari ndiyo hiyo.

Kinyungu, Proved, Bwana Utam na ndugu waungwana hebu oneni hizi ngombe.

Ninakazia:

"Ngombe si ng'ombe!"
 
Anayejifanya kuzijua siasa za marekani si wewe uliyekwenda hadi kujifanya kudadavua numbers, sababu uchwara na majimbo ndani?

Umetambua hakuna tulichoandika sisi zaidi ya:

1. Kuonyesha wapinga vita marekani walimpa miadi Kamala ya kumtia adabu kama hatabadilika mapema ya kutosha.

2. Kwamba hatimaye alikwenda kuwaangukia akiwa kachelewa mno nao wakakaza:

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

3. Baada ya kumtia adabu wamekwenda mbele kumkumbusha miadi yao kwa kuangusha party.

Hapo kipi kipya tumeandika sisi kuhusu siasa za marekani ndugu?

Kukurejea binafsi, unaonekana una makasiriko sana baada ya Kamala kutiwa adabu vilivyo.

"Kama Kamala angeshindwa tu kwa hizi sababu uchwara zako ulizoorodhesha, kumbe:"

1. Kwa nini alikuwa anagombea au kufanya kampeni?

2. Vipi Marais wote hai wa democrats kasoro Carter wa miaka 100+ kuambatana naye kumnadi na kumpiga kampeni vilivyo?

3. Vipi vigogo wakiwamo wa republican kama kina Dick Cheney na wengi wengine kum endorse Kamala?

4. Kulikuwa na haja gani ya kimwondoa Biden ulingoni?

5. Vipi kwenda kuwaangukia wapinga vita hawa?

6. Vipi Marais wote hai republican kumsusa Trump majukwaani na kukampeni kama yatima?

7. Nk.

Ujuaji wenu uchwara huu mngeuelekeza Narung'ombe ndani ndani huko, siyo huku kwenye utandawazi ambako dunia ni Kijiji!

Zaidi sana nikufahamishe hauko na data zozote kuwahusu wapinga vita ambamo humo wamo Arab Americans na sympathizers wao.

Kwamba wewe una makasiriko nao kivyao vyako unadhani kila mtu ndugu?

Jasmoni Tegga na wale wasayuni wengine habari ndiyo hiyo.

Kinyungu, Proved, Bwana Utam na ndugu waungwana hebu oneni hizi ngombe.

Ninakazia:

"Ngombe si ng'ombe!"
You better return the hostages before he assumes office in January 2025. Wambie Maislamists wenzako

View: https://x.com/TheMossadIL/status/1854487008069968363
 
Hao waarabu waache kujitwalia sifa wasizostahili! Matokeo ya Michigan (walikojazana) yanatoka tayari Trump alishavuka 270!

Imeenda hiyo!

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg

Pole lakini ndugu.
 
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini kabisa, yani akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje uangalie kujiridhisha.

Siamini kama Trump atawasaidia Wapalestina, kwani mara ya mwisho yeye ndio alibadilisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv akaupeleka Jerusalem ambalo kwa mujibu wa ramani ni eneo la Wapalestina.

But anyway labda anaweza kubadilika this time..

LAKINI Mateso ya Wapalestina hayawezi kuwa ya milele ipo siku kwa namna sisi wanaadaamu tusiyoielewa Mwenyezi Mungu atawaletea msaada tu.
 
Waache waendelee kuota. Marekani hata aje Raisi wa namna Gani kusupport Israel ni ajenda. Akijizima data system inaondoka na Kichwa chake asubuhi na mapema.

Bila kusahau hao si watoto wadogo, ni raia wa Marekani kama Trump, oana wasomi na wabobezi kuliko wewe, wanajua wanachokifanya, nk nk:

1. Walisema watamdili bibie.
2. Akatokea kuwaangukia:

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

3. Wakakaza.
4. Leo wametokea kuangusha party.

Sasa ndugu ungali unadhani wanahitaji huruma, angalizo, au kukumbushwa lolote na nani?

Huku kujihesabia haki hata kuwaona wenye nalo kuwa ndotoni, hukuoni kuwa na ukakasi wowote?
 
Support ya US kwa Israel ipo kwenye utaratibu na Trump hataubadilisha wanajipa matumaini bure tu. Kuna nchi kama Israel, Taiwan, Japan na South Korea hizo msaada kutoka US ni suala la maslahi ya Taifa
 
Mkuu hudhani kuwa hata Bi Kamala anajua kuwa bi Nyau kamgharimu urais?
 
Back
Top Bottom