ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Subiri ifike January akiingia madarakani utajua kwanini Iran walitamani afe kabla ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri ifike January akiingia madarakani utajua kwanini Iran walitamani afe kabla ya uchaguzi.
Soma kwanza uelewe, usikimbilie ku jibu utajiaibisha bure.Kwamba wanafikiri US itaachq support israel?
anae support si rais bali ni serikali watakuwa suprised
Sera ya marekani inasema hivi marekani haitaunga mkono au kushirikiana na kikundi chochote cha wapiganaji endapo kikundi hicho kitakuwa na viashiria vya kigaidi hata urusi hawezi kushirikiana na vikundi vya wapiganaji. Kuhusu waarabu Marekani anashirikiana na waarabu kibao tu kama saudi arabia,kuwait,jordan n.k. Kuhusu urusi na iran urusi atasimama upande wa iran no matter what.Mkûu sera za Marekani Kwa Israel zîpo bayana.
Íwe Trump au Kamala wôte Lao Moja.
Marekani haiwezi kuwa upande wa Waarabu dhidi ya Wayahudi Maisha.
Hata huyo Mrusi anachofanya ni geopolitical games lakini urusi hawezi kuwa upande wa Waarabu au jamii za middle east dhidi ya Wayahudi.
Kinachofanyika ni biashara
Waarabu wataendelea kutaabika Sana Marekani ingalipo.
Kupona Kwa waarabu ni aidha kuungana na matakwa Yao au kuanguka Kwa Dola la Marekani Basi.
Hamas, Hezbollah na Kaka Yao Iran round hii huenda wakapata shida zaidi kuliko Wakati wowote
Angalau huko wananchi wanaweza kuadabisha viongozi kwa maamuzi wanayofanya.Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:
View attachment 3145748
Kwamba hakusikiliza:
View attachment 3145737
Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:
View attachment 3145739
"Mwenye nchi, mwananchi!"
hizbullah na hamas ndio watapata tabu na sio iran why? Nyuma ya iran kuna mrusi,pili hujasikiliza vizuri sera za trump yule jamaa sio mtu wa vita hata kidogo israel au marekani kuingia kwenye vita na iran itafanya vita iwe kubwa sana hapo middle east just imagine wamarekani wanalia na maisha magumu,mfumuko wa bei,kodi kubwa kila mahali halafu nchi ianze kutumia mabilioni ya dola kwenye vita?Subiri ifike January akiingia madarakani utajua kwanini Iran walitamani afe kabla ya uchaguzi.
Sera ya marekani inasema hivi marekani haitaunga mkono au kushirikiana na kikundi chochote cha wapiganaji endapo kikundi hicho kitakuwa na viashiria vya kigaidi hata urusi hawezi kushirikiana na vikundi vya wapiganaji. Kuhusu waarabu Marekani anashirikiana na waarabu kibao tu kama saudi arabia,kuwait,jordan n.k. Kuhusu urusi na iran urusi atasimama upande wa iran no matter what.
Kumbuka Trump alivyomuonda Quassem aliyekuwa kamanda wa IRGC.hizbullah na hamas ndio watapata tabu na sio iran why? Nyuma ya iran kuna mrusi,pili hujasikiliza vizuri sera za trump yule jamaa sio mtu wa vita hata kidogo israel au marekani kuingia kwenye vita na iran itafanya vita iwe kubwa sana hapo middle east just imagine wamarekani wanalia na maisha magumu,mfumuko wa bei,kodi kubwa kila mahali halafu nchi ianze kutumia mabilioni ya dola kwenye vita?
Angalau huko wananchi wanaweza kuadabisha viongozi kwa maamuzi wanayofanya.
Kwenye nchi ya wagagagigikoko wanainchi ni mazuzu tu hawana wanachoweza kumfanya kiongozi. Kura zao hazina maana yoyote kama alivyosema Nape
Nyinyi msijifanye ndiyo mna ufahamu sana wa siasa za marekani.Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:
View attachment 3145748
Kwamba hakusikiliza:
View attachment 3145737
Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:
View attachment 3145739
"Mwenye nchi, mwananchi!"
Marekani atashirikiana na wéwe kama anakunyonya au anapatamo weka hiyo akilini.
Israel siô kikundi Bali NI nchi iliyoanzishwa Kisiasa na haohao Marekani na Muingereza
Hajui kusoma huyo, mkuu. Kwani article yenyewe inasemaje? 🙂Ungesoma hiyo makala wala usingesema haya, ni tofauti kabisa na unachokisema.
Yeah, waarabu wameanza kuwa na ushawishi uchaguzi wa marekani,maana wanna mayor na havana nadhani,watafikiriwa chaguzi zijazoKwamba wanafikiri US itaachq support israel?
anae support si rais bali ni serikali watakuwa suprised
nani kasema israel ni kikundi? Halafu unaposema marekani anaweza kushirikiana na yoyote that means kuna siku marekani anaweza kushirikiana na hamas,hizbullah,al shabab,islamic state n.k si ndio? Umeandika marekani hawezi kushirikiana na waarabu je saudi arabia ni wachina?Marekani atashirikiana na wéwe kama anakunyonya au anapatamo weka hiyo akilini.
Israel siô kikundi Bali NI nchi iliyoanzishwa Kisiasa na haohao Marekani na Muingereza
Waarabu ambao wengi ni democrats,hawakupiga kuraMbona Michigan kwenyewe Trump kamzidi kura kwa 0.5% tu? Labda kwa nchi nzima sio kama maelezo yanavyosema!
Naamini wamarekani wamekataa tu kuwa na amirijeshi mkuu mwanamke tu mengine yote Trump alizidiwa sana hoja na huyo mama, then transition kutoka kwa Biden kwenda kwa huyu mama ilikuwa late sana kuweza kujenga imani ya wamarekani kwa Kamala.
Mawazo yangu tu kwa kutazama numbers za kura
We do have permanent interests not friends,sera ya marekaninani kasema israel ni kikundi? Halafu unaposema marekani anaweza kushirikiana na yoyote that means kuna siku marekani anaweza kushirikiana na hamas,hizbullah,al shabab,islamic state n.k si ndio? Umeandika marekani hawezi kushirikiana na waarabu je saudi arabia ni wachina?
Marekani sio BongoMwenye nchi, mwananchi!
Wamempigia kura TrumpWaarabu ambao wengi ni democrats,hawakupiga kura
Waarabu ambao wengi ni democrats,hawakupiga kura
yes but not for the millitants groups like islamic state,al shabab,hizbullah,hamas and so on.We do have permanent interests not friends,sera ya marekani