Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

Watajua wenyewe ..huku kwetu 2025 tunasimama na mama
 
Kiongozi habari za marekani!!



Hao unao sema awatampatia kura ndio kundi kubwa MNO lisilo fanya kazi na kujishughulisha wanategemea kulipwa posho kutoka chama hiki!!


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Wewe unapiga kura US?

Kuishi maisha ya shida na dhiki sio sifa. Kuongea Ebonics au kuwa affiliated na weusi sio kigezo cha kuwa rais.
 
Umar Johnson ni Mkristo.

Sio suala la dini, Wamarekani weusi wengi wanamkataa Kamala Harris sio mmarekani mweusi bali ni mhindi wa Canada
Kwani ili itambulike kuwa ni African American unatakiwa uwe na vigezo gani?
 
Wewe unapiga kura US?

Kuishi maisha ya shida na dhiki sio sifa. Kuongea Ebonics au kuwa affiliated na weusi sio kigezo cha kuwa rais.
If you prefer Local chambers over International dialogue, you're in the wrong place, nenda majukwaa ya kitaifa,
 
Kiongozi habari za marekani!!



Hao unao sema awatampatia kura ndio kundi kubwa MNO lisilo fanya kazi na kujishughulisha wanategemea kulipwa posho kutoka chama hiki!!


KAZI ni kipimo cha UTU
Hao Black Americans ni kama saa mbovu, Ni kundi linaloongoza kwa crime, victimhood, kuto elimika, n,k. lakini kwenye siasa za marekani ni mtaji.

Na ndio maana hata Harris anafosi kuwa Black American, kwenye siasa za Marekani ngozi inaweza kuwa engineered politically kuongeza kura.
 
Njia ni nyeupe kabisa kwa Trump,

Uongozi wa Biden wamefungua mipaka maharamia milioni 20 wameingia bila vibali, Uhalifu umeongezeka, Mamia ya mabilioni ya kodi za wananchi yanapelekwa Ukraine, Mfumuko wa bei, Soko la hisa limecrush vibaya mno, n.k.
Trump angemshinda Joe.. Sio mwana Mama..
 
Kuna watoto wanarithi zaidi dna za mzazi flani
Baba yake Kamala ni Mjamaika aliyemiksi na Muafrika na MuIrish ni Biracial yaani kiswahili tunaita Chotara.

Unachotaka kutuaminisha Y na X Chromosomes ni sio Rocket Science?!


Kama Obama tu.
 
Kamala anakataliwa simply kwa sababu ni mwanamke, no more no less.
 

What's wrong with that? Mnataka aukane uhindi wake?
 
If you prefer Local chambers over International dialogue, you're in the wrong place, nenda majukwaa ya kitaifa,

Hayo ni maswali ya kawaida tu ili tujue tunajadili na mtu wa aina gani.

Hata Obama alikua biracial and grew up with his white parent ila alipoanza campaign walisema the first black president. The rest is history.

Kumkwamisha mtu kwa kutumia race yake ni njama tu za kisiasa zilizopitwa na wakati.
 
Sijaelewa Demokrasia maana yake kwa kweli
Yaani watabaguana hata wazawa na watauwana kisa huyu mweupe wa mweusi au njano
Mwisho watasema sisi ndio baba wa uhuru wa haki
Hivi akiwa Raisi ataongea kihindi?
 
Lakini harris kwa blacks ni bora zaidi kuliko trump ambaye amekuwa na kauli nyingi za kibaguzi dhidi ya blacks, juzi alisema foregners are taking black jobs kitu ambacho ni cha kibaguzi
 
Bullshit. Kamala Harris hajaanza kujitambulisha leo kama black, maisha yake yote amekuwa identified kama black. Halafu hao wote uliowaweka hapo chini hawawakilishi watu weusi wa America. Huo upuuzi ameanzisha Trump juzi tu hapa baada ya kupaniki kuona Joe Biden amejitoa.
 
Another bullshit. Kamala aliishi Canada kwa muda mfupi baada ya wazazi wake kuachana kabla ya kurejea US kuendelea na masomo kwenye chuo kikuu cha Howard. Kama angekuwa Canadian Indian asingeruhusiwa hata kugombea Urais
 
Lakini harris kwa blacks ni bora zaidi kuliko trump ambaye amekuwa na kauli nyingi za kibaguzi dhidi ya blacks, juzi alisema foregners are taking black jobs kitu ambacho ni cha kibaguzi
Nikusahishe, sio Foreigners na Illegal Immigrants

wanapenda kwenda sehemu zenye black amaericans, majiji kama Chicago, huko wanachukua kazi za wenyeji black americans..

 
Foreigners wanachukua kazi za wamarekani weusi kwasababu foreigners wengi wanapenda kwenda sehemu zenye black amaericans kama Chicago
lugha hiyo ni provocative, let me ask what are black jobs and what are white jobs? Hata olympic medalist karisha dongo hapa kwa trump ,alichoongea trump ni matusi na dharau kwa watu weusi
 

Attachments

  • Screenshot_20240808-183657_Chrome.jpg
    312.4 KB · Views: 3
lugha hiyo ni provocative, let me ask what are black jobs and what are white jobs? Hata olympic medalist karisha dongo hapa kwa trump ,alichoongea trump ni matusi na dharau kwa watu weusi
Wamarekani weusi wanalalamika kazi zao zinaibiwa na Illegal Immigrants, Trump hajakosea.

Biden karuhusu maharamia milioni 20 bila vetting baadhi wakiwa ni wauaji, wabakaji, gang members, drug dealers, terrorists, child traffickers, n.k. na wengi wanakimbilia kujazana kwenye majiji yenye black americans na kuanza kupeana kazi wenyewe kwa wenyewe wanawa push blacks nje.

Trump yupo sawa 100%


View: https://youtu.be/ORHyOePidKc?si=9plwhDZrjREKb2G4
 
Huyo ni Mhindi kabisa ukimutazama tu uso wake unajua ndugu yake Sunak, yule mdosi aliye jidai hataki wakimbizi wakati yeye mwenyewe baba yake alizaliwa Kenya. Baniani toka lini wakawa na kheri watu wanao choma moto maiti zao.
 
Majuzi kalazimisha kuongea kwa lafudhi ya wamarekani weusi kaumbuka vibaya mno mithiri Mkongomani anaelazimisha kuongea kiswahili cha bongo.
Ila watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…