Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ili itambulike kuwa ni African American unatakiwa uwe na vigezo gani?Umar Johnson ni Mkristo.
Sio suala la dini, Wamarekani weusi wengi wanamkataa Kamala Harris sio mmarekani mweusi bali ni mhindi wa Canada
If you prefer Local chambers over International dialogue, you're in the wrong place, nenda majukwaa ya kitaifa,Wewe unapiga kura US?
Kuishi maisha ya shida na dhiki sio sifa. Kuongea Ebonics au kuwa affiliated na weusi sio kigezo cha kuwa rais.
Hao Black Americans ni kama saa mbovu, Ni kundi linaloongoza kwa crime, victimhood, kuto elimika, n,k. lakini kwenye siasa za marekani ni mtaji.Kiongozi habari za marekani!!
Hao unao sema awatampatia kura ndio kundi kubwa MNO lisilo fanya kazi na kujishughulisha wanategemea kulipwa posho kutoka chama hiki!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Trump angemshinda Joe.. Sio mwana Mama..Njia ni nyeupe kabisa kwa Trump,
Uongozi wa Biden wamefungua mipaka maharamia milioni 20 wameingia bila vibali, Uhalifu umeongezeka, Mamia ya mabilioni ya kodi za wananchi yanapelekwa Ukraine, Mfumuko wa bei, Soko la hisa limecrush vibaya mno, n.k.
Baba yake Kamala ni Mjamaika aliyemiksi na Muafrika na MuIrish ni Biracial yaani kiswahili tunaita Chotara.Kuna watoto wanarithi zaidi dna za mzazi flani
Ishu ni kwamba
-Harris kaishi Canada mitaa ya kishua ya wazungu, hajaishi mazingira ya wamarekani weusi.
-Kaishi na wahindi upande wa mama yake, hajaishi na black amaricans
-Ana muonekano wa kihindi sababu dna ni 75% indian
-kakiri mara nyingi yeye ni muhindi, kaanza kujiita mwesi hivi karibuni
Simply put, Kamala Harris ni Canadian Indian
If you prefer Local chambers over International dialogue, you're in the wrong place, nenda majukwaa ya kitaifa,
Lakini harris kwa blacks ni bora zaidi kuliko trump ambaye amekuwa na kauli nyingi za kibaguzi dhidi ya blacks, juzi alisema foregners are taking black jobs kitu ambacho ni cha kibaguziView attachment 3064600
View attachment 3064591
Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara wa Jamaica na Ireland , Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,
Kamala Harris karithi zaidi DNA ya upande wa mama kwa asilimia 75%, hivyo ni mhindi zaidi.
Kamala akiwa bado mtoto miaka ya 70 wazazi wake waliachana, Aliishi na mama yake na ndugu zake wa kihindi, likizo nyingi walisafiri kwenda India.
Amekuzwa Canada kwenye mitaa ya wahindi, hajakulia mitaa ya wamarekani weusi
Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi na hakuafiki.
Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa
View attachment 3064607
Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.
View attachment 3064653
View attachment 3064602
View attachment 3064652
View attachment 3064654
Bullshit. Kamala Harris hajaanza kujitambulisha leo kama black, maisha yake yote amekuwa identified kama black. Halafu hao wote uliowaweka hapo chini hawawakilishi watu weusi wa America. Huo upuuzi ameanzisha Trump juzi tu hapa baada ya kupaniki kuona Joe Biden amejitoa.View attachment 3064600
View attachment 3064591
Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara wa Jamaica na Ireland , Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,
Kamala Harris karithi zaidi DNA ya upande wa mama kwa asilimia 75%, hivyo ni mhindi zaidi.
Kamala akiwa bado mtoto miaka ya 70 wazazi wake waliachana, Aliishi na mama yake na ndugu zake wa kihindi, likizo nyingi walisafiri kwenda India.
Amekuzwa Canada kwenye mitaa ya wahindi, hajakulia mitaa ya wamarekani weusi
Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi na hakuafiki.
Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa
View attachment 3064607
Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.
View attachment 3064653
View attachment 3064602
View attachment 3064652
View attachment 3064654
Another bullshit. Kamala aliishi Canada kwa muda mfupi baada ya wazazi wake kuachana kabla ya kurejea US kuendelea na masomo kwenye chuo kikuu cha Howard. Kama angekuwa Canadian Indian asingeruhusiwa hata kugombea UraisIshu ni kwamba
-Harris kaishi Canada mitaa ya kishua ya wazungu, hajaishi mazingira ya wamarekani weusi.
-Kaishi na wahindi upande wa mama yake, hajaishi na black amaricans
-Ana muonekano wa kihindi sababu dna ni 75% indian
-kakiri mara nyingi yeye ni muhindi, kaanza kujiita mwesi hivi karibuni
Simply put, Kamala Harris ni Canadian Indian
Nikusahishe, sio Foreigners na Illegal ImmigrantsLakini harris kwa blacks ni bora zaidi kuliko trump ambaye amekuwa na kauli nyingi za kibaguzi dhidi ya blacks, juzi alisema foregners are taking black jobs kitu ambacho ni cha kibaguzi
lugha hiyo ni provocative, let me ask what are black jobs and what are white jobs? Hata olympic medalist karisha dongo hapa kwa trump ,alichoongea trump ni matusi na dharau kwa watu weusiForeigners wanachukua kazi za wamarekani weusi kwasababu foreigners wengi wanapenda kwenda sehemu zenye black amaericans kama Chicago
Wamarekani weusi wanalalamika kazi zao zinaibiwa na Illegal Immigrants, Trump hajakosea.lugha hiyo ni provocative, let me ask what are black jobs and what are white jobs? Hata olympic medalist karisha dongo hapa kwa trump ,alichoongea trump ni matusi na dharau kwa watu weusi
Huyo ni Mhindi kabisa ukimutazama tu uso wake unajua ndugu yake Sunak, yule mdosi aliye jidai hataki wakimbizi wakati yeye mwenyewe baba yake alizaliwa Kenya. Baniani toka lini wakawa na kheri watu wanao choma moto maiti zao.View attachment 3064600
View attachment 3064591
Wazazi wa kamala Harris upande wa baba (Profesa Donald J. Harris) ni chotara wa Jamaica na Ireland , Upande wa mama (Profesa Shyamala Gopalan) ni Mhindi.,
Kamala Harris karithi zaidi DNA ya upande wa mama kwa asilimia 75%, hivyo ni mhindi zaidi.
Kamala akiwa bado mtoto miaka ya 70 wazazi wake waliachana, Aliishi na mama yake na ndugu zake wa kihindi, likizo nyingi walisafiri kwenda India.
Amekuzwa Canada kwenye mitaa ya wahindi, hajakulia mitaa ya wamarekani weusi
Alitangazwa kuwa Senator wa kwanza mwenye asili ya kihindi na hakuafiki.
Ni mara nyingi alikiri kwa kinywa chake yeye ni mhindi, Ni mpaka hivi karibuni kaanza kujiita Black American kwa malengo ya kisiasa
View attachment 3064607
Wamarekani weusi wengi wamestukia mchezo, wanamkataa wazi wazi bila kumungunya maneno, Kuna ongezeko kubwa sana la wamaerekani weusi wanaompa support Donald J Trump.
View attachment 3064653
View attachment 3064602
View attachment 3064652
View attachment 3064654
Ila watu😂😂😂😂😂Majuzi kalazimisha kuongea kwa lafudhi ya wamarekani weusi kaumbuka vibaya mno mithiri Mkongomani anaelazimisha kuongea kiswahili cha bongo.