Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Harris Hawezi kumzidi Trump kwenye "Battleground states"

Alichobakiza Harris ni Accusation za Trump za unyanyasaji wa Kijinsia ila nothing else..
 
Hakuna wa kumzuia?
 
Hakuna wa kumzuia?
Mkuu jmushi1. unapoteza muda. Kujadiliana na hayo mabumunda, heri hata ujadiliane na meza. Mijadala ya siasa za nchi kama Marekani, inawazidi kimo. Mtu anaona sifa kuitwa chawa, utajadili nini naye? Kwa hapa Tanzania ujinga ndio mtaji wa chama tawala, CCM.

Kwa Trump Urais ni swala la kufa na kupona na ndio tumaini lake la mwisho. Anajua asipoupata Urasi amekwenda na maji. Haya mabumunda yanamsikia tu Kamala Harris aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa jimbo la California, atamgaragaza Trump asubuhi na mapema.

Sijui Trump atakimbilia sayari gani baada ya November mwaka huu...anaweza hata akaikimbia nchi akatafuta hifadhi kwa rafiki yake Putin...

YES, SHE CAN!
 
jmushi1 Vipi Kaka bado unamuamini Kamala atashinda Au tukuache kwanza
 
Mkuu; umetumia lugha kali mno kwa hadhi yako hapa jukwaani! You're a 5-star ranked jf member.
 
Wale ni Marais wa marekani wanaojua Kama nani ni rais Bora ni wamarekani wenyewe na Wana vigezo vyao Kama kutengeneza ajira na Mambo mengine sisi wa huku tunasema fulani ni Bora kwa kuangalia mitazamo yetu lakini wenye maamuzi ya mwisho ni wale wanaomchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…