Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

Obama walimfanyia nini??..
 
Obama walimfanyia nini??..
Alisumbuliwa sana na "The Privileged White America" hasa wale wa upande wa pili pamoja na vyombo vyao vya habari: Binafsi naamini kuna mambo mengi mazuri angeyafanya yule mzee lakini hakufanikiwa kwasababu ya hujuma za kisiasa. Alipokea nchi ambayo tayari ilikuwa iko kwenye vita na anaingia madarakani mwaka 2008 akakaribishwa na anguko la kiuchumi: Mwisho wa siku yeye ndiye aliyelaumiwa kwa matatizo ya Marekani ambayo yalikuwepo kwa muda mrefu.
 
DNC kuna mamluki,kiuhalisia aliyekuwa na uwezo wa kupambana na Trump na kushinda ni babu Beny Sanders, wakampiga sarakasi ndani kwa ndani akapita Joe Biden, Leo tena kwenye mgombea mwenza, kulikuwa na wanawake wengi tu wenye ushawishi kwa black communities and both,ila wamewaacha wakaenda kumchagua Kamala Haris huku wakijua ana history tata kidogo na black kipindi akiwa Judge.

Jioe Biden ana historia tata kwa wanawake kama alivyo Trump, Pia kipindi akiwa mmbunge miaka ya 80s ana historia ya matamshi ya kibaguzi kwa blacks,Kikubwa kitachowatofautisha Biden naTrump kwa sasa ni sera mathubuti, ambacho hadi sasa Joe hajaonyesha serambadala kuzidi za Trump. Ila bado DNC wanakomaa nae tu,Naamini kule DNC kuna mamluki anawashauri vibaya kuhakikisha Trump ana pata upinzani dhaifu.

Toka mwezi wa 5 joe biden alikuwa akiongoza kwenye poll kwa mbali sana kitaifa na kwenye majimbo, ila mwezi huu wa nane hali imeanza kubadilika Trump anaonekana ku level ground kwenye baadhi ya majimbo na taifa.. kuna kitu kule DNC hakiko sawa
 
Maswali ya hovyo kabisa, πŸ˜€ πŸ˜€
Acha kua mlamba viatu, unajipendekeza mpaka unatia kinyaa! hakuna maswali ya hovyo bali hua kuna majibu ya hovyo, nyie ndio hua mnababaika na avatar fake na ID fake, unajikuta unajipendekeza bila kushirikisha kichwa chako.
 
Bush alikaa term moja ?
 
Bush alikaa term moja ?
Huna taarifa baba wa Bush unayemfahamu alikuwa Rais ? Kwa Taarifa tu Rais wa 41 wa U.S.A aliitwa George Herbert Walker Bush na alihudumu kwa awamu moja tu January 20, 1989 – January 20, 1993 akifuatiwa na Bill Clinton aliyehudumu tokea January 20, 1993 – January 20, 2001 kisha akaja Bush mtoto Rais Bush unayemjua wewe ambaye ni mwanaye ambaye alihudumu kuanzia January 20, 2001 – January 20, 2009 kisha Obama kwa term mbili na sasa kaka yako huyu kichwa maji!
 
Nilidhani unamaanisha Bush jr
 
Kaka yangu yupi ?
 
Kunijibu au kuamua kutonijibu ni uamuzi wako,ila tambua kua hoja nzuri huenda kwa fact na sio kusikia,

Have a good day.

Lakini kwenye original comment yangu nimeweka wazi "nimesikia" sikusema ndio fact haukuona?
 
[emoji116]
 
Huyu Maza si alimwita Biden ni Racist? Na alikubali jamaa ni mbakaji pia? Patamu hapo.
 
Acha kua mlamba viatu,unajipendekeza mpaka unatia kinyaa! hakuna maswali ya hovyo bali hua kuna majibu ya hovyo,nyie ndio hua mnababaika na avatar fake na ID fake,unajikuta unajipendekeza bila kushirikisha kichwa chako.
Bob mbona unapanic kizembe sana πŸ˜€ πŸ˜€ ,,seems uko weak sana on emotional control.Umeuliza maswali ambayo ni reseach base questions,anaweza tumia hata week kukuletea majibu,mfano kama alisoma comments mitandaoni,unataka aende kuhesabu comments zoote na hao watu wametokea maeneo gani USA??..BTW huyu niliyemjibu hapo hata simjui na wala sinaga muda mchafu wa kujipendekeza kwa watu mitandaoni,.
 
Trumpet aondoke tu, ameharibu sana/ameonyesha jinsi USA walivyo vinyonga kwenye masuala ya msingi.

Aende waapi!!!!!! 🀣🀣🀣🀣 ngoja kwanza awanyooshe wachina wako kwanza
 
Hii inanikumbusha UKAWA walivyomchagua Lowasa kugombea Uraisi.
 
Utakua una tatizo la kukurupuka au kudandia vitu bila kua na ujuzi nao,
Get well soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…