Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Watu si walisimamishwa kazi kwasababu ya Corona?Unaweza kutaja hata kitu kimoja alichoharibu Trump?
Trump kwa takwimu ndie rais bora kuwahi kutokea Marekani. Mwezi Jue alitengeneza ajira milioni 4.8, haijawahi kutokea toka Dunia imeumbwa.
Achana na hadithi za vijiweni.