Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

Unaweza kutaja hata kitu kimoja alichoharibu Trump?

Trump kwa takwimu ndie rais bora kuwahi kutokea Marekani. Mwezi Jue alitengeneza ajira milioni 4.8, haijawahi kutokea toka Dunia imeumbwa.

Achana na hadithi za vijiweni.
Watu si walisimamishwa kazi kwasababu ya Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…