Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani sbb ni jinsia?USA kamwe hawawezi kumpa urais mwanamke. Jinsi hii inaweza kuaminiwa katila mambo ya usaidizi tu lakini siyo katika kufanya maamuzi ya mwisho ndani majukumu mazito na nyeti ya kitaifa.
Ni vile kama "deep state" ilivyo "compromised" katika nafasi ya urais hapa Tanzania na kuwa "biased & prejudiced" kwa Wakatoliki - Ukristo na Washia - Uislamu. Kwao "gender issue" katika uongozi wa kitaifa ni kitu nyeti mno
Muda utaongea
Wewe umesha leweshwa na ile pombe ya ccm ya matokeo kutangazwa na kada wa ccm anayeitwa DED.Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE
Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!
Niko 👉
Trump anasema huyo mama ndiye mwanasiasa dhaifu kuliko wote katika historian ya America.
Usifikiri marekani ina akili za mavi na usaha kama ulizonazo wewe mla dona!!Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE
Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!
Niko 👉
Tyu!Usifikiri marekani ina akili za mavi na usaha kama ulizonazo wewe mla dona!!
Mmejawa ushenzi kichwani kiasi cha kuwa wavivu kujisomea nani kakudanganya huko kuna kutangazwa kama huku ushenzini kwenu?
Wewe mmarekani wa hapo tarime unaijua?Kwani Trump anaijua historia ya Amerika?