Kamala Harris njia nyeupe

Kamala Harris njia nyeupe

USA kamwe hawawezi kumpa urais mwanamke. Jinsi hii inaweza kuaminiwa katila mambo ya usaidizi tu lakini siyo katika kufanya maamuzi ya mwisho ndani majukumu mazito na nyeti ya kitaifa.

Ni vile kama "deep state" ilivyo "compromised" katika nafasi ya urais hapa Tanzania na kuwa "biased & prejudiced" kwa Wakatoliki - Ukristo na Washia - Uislamu. Kwao "gender issue" katika uongozi wa kitaifa ni kitu nyeti mno
Yaani sbb ni jinsia?
Na hiyo ndo itamfanya ashinde,km iatashinda!

Chama Cha mashoga hiko sikipendi hilo tu
 
Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE

Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!

Niko 👉
Wewe umesha leweshwa na ile pombe ya ccm ya matokeo kutangazwa na kada wa ccm anayeitwa DED.
 
Kwa Marekani, Democrasia huharibika pindi tu linapkuja suala la wao eti watawaliwe na jinsia ya KE

Nasemaje, hata akishinda kwa 90%, Kamara hatangazwi!

Niko 👉
Usifikiri marekani ina akili za mavi na usaha kama ulizonazo wewe mla dona!!

Mmejawa ushenzi kichwani kiasi cha kuwa wavivu kujisomea nani kakudanganya huko kuna kutangazwa kama huku ushenzini kwenu?
 
Usifikiri marekani ina akili za mavi na usaha kama ulizonazo wewe mla dona!!

Mmejawa ushenzi kichwani kiasi cha kuwa wavivu kujisomea nani kakudanganya huko kuna kutangazwa kama huku ushenzini kwenu?
Tyu!

Imenibidi niteme mate tu, halafu wewe, kwa hasira hizi unaiweza kazi ya ugaidi kabisa!

Wewe ni mwanagambo wa Gaza? Maana sisi huku kwetu hatuna watu wajinga na wenye mihasira kama zako
 
Sidhani kama USA itamkabidhi Nchi Mwanamke
 
Yani unafurahia national polls Marekani..Stupid....hiyo inaelezea popular vote tu..2016 Clinton + 4 kwenye popular vote lakni Trump alishinda, 2020 Biden + 5, na ndio alishinda...Trump + 1 is an electoral college land slide
 
Asiishie kuilalamikia Russia kama Hilary Clinton baada ya kushindwa na Trump 2016!
 
Back
Top Bottom