Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani sbb ni jinsia?USA kamwe hawawezi kumpa urais mwanamke. Jinsi hii inaweza kuaminiwa katila mambo ya usaidizi tu lakini siyo katika kufanya maamuzi ya mwisho ndani majukumu mazito na nyeti ya kitaifa.
Ni vile kama "deep state" ilivyo "compromised" katika nafasi ya urais hapa Tanzania na kuwa "biased & prejudiced" kwa Wakatoliki - Ukristo na Washia - Uislamu. Kwao "gender issue" katika uongozi wa kitaifa ni kitu nyeti mno
Na hiyo ndo itamfanya ashinde,km iatashinda!
Chama Cha mashoga hiko sikipendi hilo tu