Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kote tu propaganda inategemea ni upande gani hakuna msafi hasa kwa hii ishu ya sasa we chagua tu kuburudika na upande gani ila hakuna asievutia ngozi kwake....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]we jamaa hivi ulishawahi kuona propaganda media zinaenda opp na siri-kali , chukulia mfano mzuri TBCCM